To all married men,nini kilikufanya umchague yeye kuwa mkeo?

...(PICHU YA PINK), wacha niite hivi, nlikua nimepanga mahali baada ya kumaliza chuo tu. Kuna mdada alikua kamaliza nae chuo. Siku hiyo alikua anaosha vyombo nje huku top yake ikipanda na kuacha sehemu ya pichu ya pink kuonekana kwa nyuma. Dah, mimi huwa mgonjwa sana wa hii rangi hasa ikiwa ndani....
Basi tulianzia hapo na mpaka sasa nampendea hizo rangi za pichu na mambo mengii mazuri ambayo anayo
i.e
Hajipodoi kichina, hajui mambo ya social network hana hata akaunt FB, ni mchapa kazi, msikivu, mvumilivu na anajua kupika vizuri sana. I love her bila kigugumizi.
 
ngoja niwe sirias kidogo:

to be honest kabla sijafikia maamuz ya kumuoa niliyemuoa 2 years ago,nilikua na mahusiano na mwanamke ambae alikua too demanding with no creativity of handling me,inshort she was fake!!
now back to this woman:ni mwanamke simpo,yupo real...anachokiongea ndicho body yake na macho yake yanakiamini na kukifanya....kubwa kabisa sio mlalamishi hata kidogo,she is not negative minded at all (hana muda wa kunihisia vibaya mda wote..hata kama akihisi vibaya atanishauri in a way nitaumia kimoyomoyo and learned something)....

anaridhika na hali yangu ya utajiri na umaskini...ni mchapa kazi,anamawazo ya kifamilia na kupenda watoto,sio mtu wa anasa za kijinga,she is outgoing and have class,hana mashauzi,...

ooops alinipikia na kunifulia nakutake risks zote za kazi na her family (before sijamuoa)...wengine apa utaskia 'nimpikie kwani kanioa'....utasubiri sana!!

by the way LIFE ALL ABOUT TAKING RISKS...INSHORT AMEFANIKIWA KUNIBADILISHA KITU JAPO NAJIJUA NI MKOROFI,MTATA!!
 
sina mke wala mchumba ila naweza sema kila mtu ana on feture zake mie when ineed some behaviour good ineed
 
oh my goodness. this is the greatest mistake I had ever done, and now it is costing me undoing it. I got frauded big time.

Aisee, pole sana. Of it is any consolation to you, of recent pope amesema about 50% za ndoa za kikristu sio ndoa. Huenda yako sio pia.
 
...(PICHU YA PINK), wacha niite hivi, nlikua nimepanga mahali baada ya kumaliza chuo tu. Kuna mdada alikua kamaliza nae chuo. Siku hiyo alikua anaosha vyombo nje huku top yake ikipanda na kuacha sehemu ya pichu ya pink kuonekana kwa nyuma. Dah, mimi huwa mgonjwa sana wa hii rangi hasa ikiwa ndani....
Basi tulianzia hapo na mpaka sasa nampendea hizo rangi za pichu na mambo mengii mazuri ambayo anayo
i.e
Hajipodoi kichina, hajui mambo ya social network hana hata akaunt FB, ni mchapa kazi, msikivu, mvumilivu na anajua kupika vizuri sana. I love her bila kigugumizi.

Hongera sana, and you should thank God for that.
 
Okay yangu ilikuwa hivi.....

I was in a re;ationship with a Gold Digger ambaye yeye it all time money stories na mambo ya kujirusha na I decided that were going to have fun only no commitment...then I met this heaven sent lady on common a friend's birthday...she was nicely dressed,akanivutia kuongea naye na through stroies za kawaida I came to realize she's a God fearing lady ndo hapo nikaona tofauti ya kimeo nilichokuwa nacho na huyu.

I dumped the one I had ans started strategizing huyu based on my initial observation later to find she was intelligent na alikuwa anatoka familia ya kawaida sana yenye upendo to each other ndipo nilipoamua I was going to marry her.Alininyima Papuchi for 6 months na alipotoa ilikuwa mpyaa yaani mimi ndo niliyeibomoa na hapo nikamu-engage the rest was a story.
 
...(PICHU YA PINK), wacha niite hivi, nlikua nimepanga mahali baada ya kumaliza chuo tu. Kuna mdada alikua kamaliza nae chuo. Siku hiyo alikua anaosha vyombo nje huku top yake ikipanda na kuacha sehemu ya pichu ya pink kuonekana kwa nyuma. Dah, mimi huwa mgonjwa sana wa hii rangi hasa ikiwa ndani....
Basi tulianzia hapo na mpaka sasa nampendea hizo rangi za pichu na mambo mengii mazuri ambayo anayo
i.e
Hajipodoi kichina, hajui mambo ya social network hana hata akaunt FB, ni mchapa kazi, msikivu, mvumilivu na anajua kupika vizuri sana. I love her bila kigugumizi.

thenkyu, I wil lv u forever
 
waooo,nimeipendaaa hii
 
Aisee, pole sana. Of it is any consolation to you, of recent pope amesema about 50% za ndoa za kikristu sio ndoa. Huenda yako sio pia.

wewe uko vizuri wewe, Hii ndio thinking yangu haswaa, is it thinking? Ni fact haswaa. Na nimepata biblical proof, kama mwanaume alidanganywa kabla ya kumuoa binti,akija kugundua uongo huo ana haki zote za kuivunja ndoa hiyo.
 
Nlipomuona tu siku ya kwanza hata hanijui nikahisi ni mtulivu na anatabia njema nikajiasemea ' huyu ndie mke wa kuoa '. Nikampenda nikaanza kumtokea tangu semister 1 tukiwa chuo miaka hiyo. Alikuwa mwokovu hasa nami nikaanza kwenda kwa kipindi cha dini alinisumbua kumpata. Nlipompata hata skuwai kutamani fanya nae mapenzi. Tangu semister 2 hadi namaliza chuo she was my girl. Now 2 kids tabia hajabadilika but she doesn't like sex too much as I do.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom