To all married men,nini kilikufanya umchague yeye kuwa mkeo?

bado sijafanikiwa my dear asante sana kwa kunijali kwa hilo ndg yangu hujui ni kiasi gani nimepata faraja....km una ishu nipe tu ndg yangu

I will find time tutaongea through PM , hold on a little longer.........we never know may be i cn help.
 
Mkuu uandishi wako ujitahidi kuandika kwa paragraph, yaani hapa natumia iPad lakin kazi ninayo kusoma. Au hukupitia enzi za IMLA nini?

Ha ha ha nimekusikia mkuu wangu. Nisamehe bure nilikuwa natumia kasimu, loooh. Dah nikachapia tu.
 
Mm tabia yake,Elim pia ni mtu ambae hana mambo mengi yaan yuko simple no complications nikaona anafaa
 
Power and money .Nazimia wanaume wenye power na Mwanaume pesa .He is the best sex partner .Nilivyomuona mume wangu for the first time my God damu ilinichemka kuanzia head to toe .Mimi huwaga naringa Sana Halafu old school .Dah Mzungu nilihakikisha he is my husband na nilijua ni wangu uwiiiii.For the first time I initiated sex na Dah u sister do woooote pembeni mwanangu .halafu always nilikuwa na tafuta atakaekuwa baba wa wanangu .I nailed it and it was a home run .Hamna Mwanaume anaweza nitoa Kwake Nimefika na nimempatia watoto waziriiiiiii.I love my husband hakuna ubishi kila nikimtazama machozi yananitoka .Ninavyoandoka hapa machozi yananitiririka

Mimi sijaelewa ya machozi kukutoka
 
Ngoja nimsemee kdogo, mda mwingi ye yupo jukwaa la siasa.Alinijua nkiwa standard six ye akiwa o-level.Aliwai kumwambia member mmoja wa familia yetu ananipenda akaambiwa mi bado mdogo asubiri.Miaka ikaenda nkaja kukutana nae nkiwa advance ye akiwa kazini aisee kumbe alikua ananifatilia.Bahati nzuri Mungu akishapanga kapanga, alikua anafanya kazi mkoa nlikopangiwa advance.Nakumbuka ilikua visiting day nlikua bwenn nkaambiwa naitwa nna mgeni, nkashtuka ckua na ndugu katika ule mkoa.Nlivoenda nkamkuta na rafiki yake tukasalimiana na kuniomba no. za simu.Story ni ndefu ila alikua na nia pamoja na kumshirikisha Mungu.

Wewe ulibakwa
 
Mimi nilidhani tunapiga shows then kila mtu atasepa kivyake, lakini yeye akaanza kunibinafsisha by the time nastuka da game was over.
 
Her sister was my classmate and 2likuwa mabest kweli kweli...her dad alipofariki na uchumi wao ukayumba,they literally became poor overnight...nilikuwa na project mkoani kwao ndo nikakutana nae,..nilimuonea huruma,nikaamua kuoa..the rest is history!a cnt say i love her,bt a realy like hr....she is a woman any man wuld die for,...hata niwe na hasira vp nikumwangalia usoni nakua mpole!dah,.sina maneno ya kumuelezea aseeh,.nachepuka sana but she is the best!a dnt regret marrying her!!we have 2 boys nw...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom