To all married men,nini kilikufanya umchague yeye kuwa mkeo?

ngoja niwe sirias kidogo:

to be honest kabla sijafikia maamuz ya kumuoa niliyemuoa 2 years ago,nilikua na mahusiano na mwanamke ambae alikua too demanding with no creativity of handling me,inshort she was fake!!
now back to this woman:ni mwanamke simpo,yupo real...anachokiongea ndicho body yake na macho yake yanakiamini na kukifanya....kubwa kabisa sio mlalamishi hata kidogo,she is not negative minded at all (hana muda wa kunihisia vibaya mda wote..hata kama akihisi vibaya atanishauri in a way nitaumia kimoyomoyo and learned something)....

anaridhika na hali yangu ya utajiri na umaskini...ni mchapa kazi,anamawazo ya kifamilia na kupenda watoto,sio mtu wa anasa za kijinga,she is outgoing and have class,hana mashauzi,...

ooops alinipikia na kunifulia nakutake risks zote za kazi na her family (before sijamuoa)...wengine apa utaskia 'nimpikie kwani kanioa'....utasubiri sana!!

by the way LIFE ALL ABOUT TAKING RISKS...INSHORT AMEFANIKIWA KUNIBADILISHA KITU JAPO NAJIJUA NI MKOROFI,MTATA!!

hongera zake jmn,good for her,wenye wachumba weekend hii washajua cha kufanya..lols
 
Mema yote yamefutika, ndo maana nasema I got frauded. she is a fraud. this thing of mine is a big failure.I have failed, I am a looser.

Umenikumbusha mbali,hili neno iam a looser bro wangu huwa analisema kila siku. Alishawahi kumpa wife wake 60 mil cash atunze,baada ya miezi kama 6 akazitaka,akakuta 20 hazipo,eti amefanya shopingi. Ndio maana nasema acha niwepo niwepo kwanza.
 
Very caring and kind, boldness and openeness. Visionary and hard working. Ni hayo yu kwa sasa. Kuna vitu ni automatic yaani huwezi kuzuia
 
waooo,nimeipendaaa hii
Ni msichana wa aina yake...Nlienda kwa lengo la kupita lakini nadhani nimefika. Anatabia halisi za Mama hasa wa kiafrika.....ooops, akisoma hizi lines atashangaa kwanini huwa simwambii haya nnayo sema.
Nlimwanzishia outing ila hakuwa interested (akinishauri tukapike nyumbani huku kuna kelele), nkampeleka movie(cinemax) hakupenda hayo maisha (akinishauri tunapoteza pesa),Nikiwa naye hana haja ya vocha(akisema wewe uko hapa sina mtu wa kumtafuta), Nikimwachie hela nakuta na chenji......Dah, hii bahati nadhani mimi nimempata sio yeye kanipata.
 
oh my goodness. this is the greatest mistake I had ever done, and now it is costing me undoing it. I got frauded big time.

Pole sana mkuu... Usijute make Mungu aliona wewe ndiye pekee utakayeweka kuubeba mzigo ulionao. Angempa Mwingine huenda hata angejiua, angemuua huyo ama angesababisha madhara makuwa katika jamii inayomzunguka!

Umekosekana sana!
 
Iko hivi mapenzi mazuri ni lazima usiwe na mipaka kwani hicho unachokipenda kikiondoka maana yake ,mapenzi yameisha?? Binafsi mpaka leo hii cjui nilimpendea nn mke wangu but nachojuanampenda n we have 11yrs now, wapo watu wanaamini alimpenda mtu kwa kitu fulani hawajakosea lakini nina shaka je hicho ulichokipenda kisipokuwepo itakuwaje?? I stand to be corrected but hivyo ndio ninavyoona mimi
 
Ni msichana wa aina yake...Nlienda kwa lengo la kupita lakini nadhani nimefika. Anatabia halisi za Mama hasa wa kiafrika.....ooops, akisoma hizi lines atashangaa kwanini huwa simwambii haya nnayo sema.
Nlimwanzishia outing ila hakuwa interested (akinishauri tukapike nyumbani huku kuna kelele), nkampeleka movie(cinemax) hakupenda hayo maisha (akinishauri tunapoteza pesa),Nikiwa naye hana haja ya vocha(akisema wewe uko hapa sina mtu wa kumtafuta), Nikimwachie hela nakuta na chenji......Dah, hii bahati nadhani mimi nimempata sio yeye kanipata.

Mods, naomba mniwezeshe kupata posts zote za huyu ndugu. Nataka nije nicomment siku akianza kulia.
 
It was like automatic. Nilipomuona for the first time moyo ulinilipuka, nae ilikuwa hivyo kwangu. Tukawa kila tukionana kila mmoja anakuwa na furaha zaidi, stress zinaisha. Hatua zikaendelea kwa mud a mrefu mara ndoa.
 
Pole sana mkuu... Usijute make Mungu aliona wewe ndiye pekee utakayeweka kuubeba mzigo ulionao. Angempa Mwingine huenda hata angejiua, angemuua huyo ama angesababisha madhara makuwa katika jamii inayomzunguka!

Umekosekana sana!

Don't tell me that...

Nimekosekana hadi naona aibu.
 
Okay yangu ilikuwa hivi.....

I was in a re;ationship with a Gold Digger ambaye yeye it all time money stories na mambo ya kujirusha na I decided that were going to have fun only no commitment...then I met this heaven sent lady on common a friend's birthday...she was nicely dressed,akanivutia kuongea naye na through stroies za kawaida I came to realize she's a God fearing lady ndo hapo nikaona tofauti ya kimeo nilichokuwa nacho na huyu.

I dumped the one I had ans started strategizing huyu based on my initial observation later to find she was intelligent na alikuwa anatoka familia ya kawaida sana yenye upendo to each other ndipo nilipoamua I was going to marry her.Alininyima Papuchi for 6 months na alipotoa ilikuwa mpyaa yaani mimi ndo niliyeibomoa na hapo nikamu-engage the rest was a story.

Mmmhh wonderful....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom