To all jf members

Wow...!! Jf good look
 
Safi sana nami nawatakia nyote Mwaka mpya mwema popote mlipo tuuone.

Mungu ni Mwema.
 
...jamani nawatakia wote mery xmass njema na mwaka mpya mwema wote, wana jf. ila buku 7 crew nawatakia mwaka mgumu 2014,na panapo majaaliwa 2015 waangukie pua kabsaaaa...!!
 
Teh..teehhh......teeeee.....
 
Nami pia nawatakieni mwaka mpya wenye majibu ya yale mlioshindwa kuyafikia kwa hii 2013,nawapenda wote
 
ushiboi usikonde 2014 meno yako mawili yataota-NA watu wote waweke LIKE
 
Heri ya mwaka mpya kwenu wote mliochangia humu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…