Mjini mvua za nini tusumbuane mgandini🤣🤸🤸Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga
Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?
Bwa shee upo rafiki? Naona siku hizi umenichunia .Mrema: Vijana wa Chadema wana matusi sana
Aliposema nikakukumbuka bwashee 😁
very sadMvua zina nyesha kwa wingi mikoa yote inayo zunguka Dodoma, lakini Dodoma bila bila
Moshi wa mihadarati unayachanganya mawingu ya mvua.Mfano, sasa hivi mvua zinanyesha almost mkoa mzima wa Tanga
Lakini Tanga Jiji mvua ni za kubabia, ie ndogo sana kulinganisha na maeneo yanayozunguka Jiji. Kitaalamu inasababishwa na nini?