Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,180
- 17,649
Unaandika Kwa kukurupuka sana halafu hujui kuwa kuandika Kwa herufi kubwa sentensi nzima ni sawa na kuropoka?WAAMNDIKE BARUA WAPELEKE YATAFANYIWA KAZI SIYO LAZIA KUKUTANA NA RAIS
hawajui hata hio OKTOBA wanatiki nini?Unaandika Kwa kukurupuka sana halafu hujui kuwa kuandika Kwa herufi kubwa sentensi nzima ni sawa na kuropoka?
Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"
Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"
Rais mwenyew katiwa mfukoni na wahuni, hasara kwa taifa!WAAMNDIKE BARUA WAPELEKE YATAFANYIWA KAZI SIYO LAZIA KUKUTANA NA RAIS
Wana hoja. wasikilizwe
Barua walishaandika lakini majibu hamna.TLS wanataka waonane Naye ana Kwa ana ili rais apewe makavu live bila kupepesa machoWAAMNDIKE BARUA WAPELEKE YATAFANYIWA KAZI SIYO LAZIA KUKUTANA NA RAIS
Asuburi uchaguzi chadema agombee uenyekiti, sasa chama chake kimechemka kususa uchaguzi, yeye anachukua nafasi ya mwenyekiti bila ridhaa yake.Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"
Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"
CHADEMA mnahangaika sana, tulieni dawa iwaingie si hamtaki mapendano nyie!Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"
Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"
Mkuu umeishia form three amaWAAMNDIKE BARUA WAPELEKE YATAFANYIWA KAZI SIYO LAZIA KUKUTANA NA RAIS
CHADEMA mnahangaika sana, tulieni dawa iwaingie si hamtaki mapendano nyie!
Kila siku mnatuma mtu mpya aongee maneno hayo hayo, kutoka Polepole, Gwajima, Sugu na sasa Mwabukusi. Tunawazoom tu, hamjasema bado mpaka tutiki tutashuhudia mengi๐๐๐
Kama katiba na Sheria zilizopo zitafuatwa uchaguzi utakua huru na haki.Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS kimeomba kikutana na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dharura ili kuweza kuwasilisha kwake naoni ya wadau mbalimbali juu ya changamoto ambazo zinapaswa kutatuliwa kabla ya uchaguzi ili kuliwezesha taifa kuingia kwenye uchaguzi likiwa na amani na haki iweze kutendeka katika uchaguzi huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa TLS Boniface Mwabukusi amesema "TLS imewasiliana na Ofisi ya Mhe. Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuwasilisha maazimio ya wadau"
Mwabukusi ameeleza kuwa mazungumzo hayo na Rais yatazingatia kutoa ushauri wa hatua za haraka kuchukuliwa ili kurudisha imani ya wananchi na kuhakikisha uchaguzi unakuwa shirikishi, shindani na wenye uhalali wa kisiasa.
Ameongeza kuwa hadi hivi sasa hawajapata majibu kutoka ofisi ya Rais huku akisisitiza umuhimu wa serikali TLS kuwasilisha maoni hayo"tunayo nafasi ya kusimama imara kama taifa kwa kusikilizana na kuelewana kwenye masuala muhimu ya kitaifa kama suala la uchaguzi mkuu"
Barua walishaandika lakini majibu hamna.TLS wanataka waonane Naye ana Kwa ana ili rais apewe makavu live bila kupepesa macho