Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,316
- 289,285
Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa
Ngoja tuoneTusubiri polisi kupiga marufuku
HakikaGood moves
AminaMungu atuepushe na mambo mabaya ya utekaji na uuaji
Namna wanavyohujumu ndivyo uthibitisho wa kuhusika kwao unavyozidi kudhihirikaWauaji watakuwa wanajipanga kulihujumu.
wakati ujao pia ni muhimu zaidi wakajadili athari za maandamano haramu ya kukurupuka, uganga, ushirikiana, kafara, ramli chonganishi na kuchukuana misukule ili kupata nafasi za uongozi na vyeo ndani ya vyama vya siasa nchini 🐒
Hakuna haja ya kongamano kwani kinara wa wahalifu hao anajulikana, suluhisho ni Samia must go tu
Unashabikia utekaji na mauaji ili iweje?Mwambukuzi anaipeleka kubaya TLS kama ambavyo ilitarajiwa. TLS ni chama cha wanataaluma wa sheria sawa na ambavyo vilivyo vyama vya wanataaluma wengine mbali mbali nchini hususani waalimu (CWT), madaktari (MAT), wahandisi, wahasibu, wauguzi (TARENA) na kadha wa kadha.
Hivi nchi ingalitawalika kama vyama hivi vya kitaaluma vingalikuwa vinafanya kama ambavyo Mwambukuzi anavyotaka chama chake cha TLA kiwe kinafanya? Hili suala la utekaji serikali ilishasema inalifanyia kazi kwa nguvu zake zote. Sasa hayo makongamano na maandamano ya suala hilo malengo yake ni yapi kama si kuichafua nchi na kuwafanya raia waishi kwa hofu ndani ya nchi yao? This must end, tuliachie suala hili kwa vyombo vyetu vya ulinzi. Umadhubuti wa vyombo vyetu vya usalama unajulikana. Ulikabiri na kufanikiwa wimbi la mauaji ya aina kama haya, yaliyotokea huko Kibiti, Rufiji na Mkuranga kipindi cha awamu ya nne. Hakukuwa na maandamano wala makongamano yo yote. Haya ya sasa hayajafikia kiwango cha kutisha kama yale ya Kibiti na Mkuranga. Hao magaidi wanaoratibu vikosi hivyo vya utekaji punde watajulikana, kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
Mwambukuzi anaipeleka kubaya TLS kama ambavyo ilitarajiwa. TLS ni chama cha wanataaluma wa sheria sawa na ambavyo vilivyo vyama vya wanataaluma wengine mbali mbali nchini hususani waalimu (CWT), madaktari (MAT), wahandisi, wahasibu, wauguzi (TARENA) na kadha wa kadha.
Hivi nchi ingalitawalika kama vyama hivi vya kitaaluma vingalikuwa vinafanya kama ambavyo Mwambukuzi anavyotaka chama chake cha TLA kiwe kinafanya? Hili suala la utekaji serikali ilishasema inalifanyia kazi kwa nguvu zake zote. Sasa hayo makongamano na maandamano ya suala hilo malengo yake ni yapi kama si kuichafua nchi na kuwafanya raia waishi kwa hofu ndani ya nchi yao? This must end, tuliachie suala hili kwa vyombo vyetu vya ulinzi. Umadhubuti wa vyombo vyetu vya usalama unajulikana. Ulikabiri na kufanikiwa wimbi la mauaji ya aina kama haya, yaliyotokea huko Kibiti, Rufiji na Mkuranga kipindi cha awamu ya nne. Hakukuwa na maandamano wala makongamano yo yote. Haya ya sasa hayajafikia kiwango cha kutisha kama yale ya Kibiti na Mkuranga. Hao magaidi wanaoratibu vikosi hivyo vya utekaji punde watajulikana, kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
Hawa ni Chawa, huwa hawaoni huu uchafu .Chief naona umejibu kisiasa zaidi. Mimi naona ni katika sehemu ya kupaza sauti huenda kuna mambo ambayo serikali itayachukuwa na kuyafanyia kazi sambamba na uchunguzi unaondelea.
Maangamizi ya magaidi wa Kibiti ilikuwa ni kipindi cha awamu ya 4!Mwambukuzi anaipeleka kubaya TLS kama ambavyo ilitarajiwa. TLS ni chama cha wanataaluma wa sheria sawa na ambavyo vilivyo vyama vya wanataaluma wengine mbali mbali nchini hususani waalimu (CWT), madaktari (MAT), wahandisi, wahasibu, wauguzi (TARENA) na kadha wa kadha.
Hivi nchi ingalitawalika kama vyama hivi vya kitaaluma vingalikuwa vinafanya kama ambavyo Mwambukuzi anavyotaka chama chake cha TLA kiwe kinafanya? Hili suala la utekaji serikali ilishasema inalifanyia kazi kwa nguvu zake zote. Sasa hayo makongamano na maandamano ya suala hilo malengo yake ni yapi kama si kuichafua nchi na kuwafanya raia waishi kwa hofu ndani ya nchi yao? This must end, tuliachie suala hili kwa vyombo vyetu vya ulinzi. Umadhubuti wa vyombo vyetu vya usalama unajulikana. Ulikabiri na kufanikiwa wimbi la mauaji ya aina kama haya, yaliyotokea huko Kibiti, Rufiji na Mkuranga kipindi cha awamu ya nne. Hakukuwa na maandamano wala makongamano yo yote. Haya ya sasa hayajafikia kiwango cha kutisha kama yale ya Kibiti na Mkuranga. Hao magaidi wanaoratibu vikosi hivyo vya utekaji punde watajulikana, kukamatwa na kushughulikiwa kwa mjibu wa sheria zetu.
Hii imekaa vizuri sana
HakikaHii imekaa vizuri sana
Wanaharakati wa tls