TLS: Pendekezo la kuwafanyisha kazi Mahabusu ni kukiuka Katiba ya nchi na maagano ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,977
1.PNG

2.PNG

3.PNG
 
Simbachawene anaingia rasmi kwenye orodha ya watakaoburuzwa mahakamani baada ya CCM kung'olewa bila huruma
 
Tatizo la wateule wa Magufuli ni kutaka kutimiza kila ndoto ya Mheshimiwa hata kama haina mantiki.

Mheshimiwa kasema magereza wajitegemee kwa chakula, lakini ukweli ni kwamba mahabusu ni wengi kuliko wafungwa. Sasa wanatafuta namna ya kuvunja katiba ili kufurahisha mfalme
Screenshot_20200606-193651.png
 
Mahabusu kufanya kazi kama mfungwa? Kuna wakati hawa viongozi huwa wanajisahau kuwa na wao wanaweza kuwa watuhumiwa na wakapelekwa magereza
 
Mahabusu wakianza kufanyishwa kazi,naamini nitakua nimepata kibali

polisi wataonifata kunikamata kwa kosa lolote eti niende kituoni,wajipange.

Huwezi mfanyisha mahabusu kazi,huo ni ushamba na ulimbukeni na ni zaidi

ya kuvunja haki za Binadamu,Kuna watu wanahitaji kupimwa akili nawambia.
 
Mahabusu kufanya kazi kama mfungwa? Kuna wakati hawa viongozi huwa wanajisahau kuwa na wao wanaweza kuwa watuhumiwa na wakapelekwa magereza
Tatizo kubwa ni ya kwamba, viongozi wetu wanajitoa ufahamu ya kutambua ukweli ya kuwa, nao pia ni mahabusu na wafungwa wajao. Wanafikiri ya kuwa wanawakomoa wapinzani wao kumbe nao wenyewe wanajichimbia shimo la kuingia ndani yake.
 
Back
Top Bottom