TLS (Chama Cha Wanasheria) wanachama wenu ndio grisi ya Uvamizi wa Ardhi na Mashamba

Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,799
4,195
Chama Cha Wanasheria, (TLS) mnao wanachama wahovyo, ambao wamegeuka.bush lawyers, na kazi yao ni kumobilize magenge ya matapeli, wanazunguka, mgogoro mmoja wa Ardhi hadi mwingine kazi yao ni kukusanya fedha za wahanga, na kuwaingiza kwenye kesi kila uchao.

Matokeo yake watu wanazidi kupoteza Mali na tumaini, na ukweli wanasheria hawa wanaujua, ila hawakomi kuwaibia wahanga.

Naomba TLS itoe tamko la wazi, ili watu wapone. Maana kwa sasa watu wanaibiwa na matapeli ya ardhi, na wanapogeukia mahala pa kuponea; kwa wajuzi wa Sheria, badala waambiwe ukweli waendelee na kazi zao au washitaki Waliowatapeli, kutwa wanawachangishwa fedha kufungua kesi za ardhi ambazo wanafahamu fika wananchi watashindwa.

Hili si sawa hata kidogo. Si sawa kabisa.. sio sawa. TLS property right ni suala la wazi kabisa, tupeni namna tuwashughulikie aina hii ya mawakili.
 
Kama nisingekuwa Mganga, basi ningelikuwa Mwanasheria.

Napenda sana maswala ya Sheria na muktadha mzima wa haki. Na pengine, ningelikuwa Wakili wa tofauti.

Wakili yeyote mwadilifu atakupa ushauri wa Kisheria ni kwa namna gani mliendee jambo husika.
 
Chama Cha Wanasheria, (TLS) mnao wanachama wahovyo, ambao wamegeuka.bush lawyers, na kazi yao ni kumobilize magenge ya matapeli, wanazunguka, mgogoro mmoja wa Ardhi hadi mwingine kazi yao ni kukusanya fedha za wahanga, na kuwaingiza kwenye kesi kila uchao.

Matokeo yake watu wanazidi kupoteza Mali na tumaini, na ukweli wanasheria hawa wanaujua, ila hawakomi kuwaibia wahanga.

Naomba TLS itoe tamko la wazi, ili watu wapone. Maana kwa sasa watu wanaibiwa na matapeli ya ardhi, na wanapogeukia mahala pa kuponea; kwa wajuzi wa Sheria, badala waambiwe ukweli waendelee na kazi zao au washitaki Waliowatapeli, kutwa wanawachangishwa fedha kufungua kesi za ardhi ambazo wanafahamu fika wananchi watashindwa.

Hili si sawa hata kidogo. Si sawa kabisa.. sio sawa. TLS property right ni swala la wazi kabisa, tupeni namna tuwashughulikie aina hii ya mawakili.
Naunga mkono hoja.
Nina kesi mahakama ya ardhi wakili wa mlalamikaji alinitumia ujumbe kupitia mtu wake kuwa nimpe 5m la sivyo atanisumbua sana.
Mawakili wanatumia sheria kununua kesi wengine wakijifanya sijui next friend wa mlalamikaji yaani full utapeli.
TLS hivi kweli mna code of conduct za kuweza ku regulate mienendo na weledi wa wanachama wenu?.
 
Back
Top Bottom