TLP imekufa kama alivyokufa kada wake Mrema

Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
Mkuu TLP ilikuwa imeshakufa, bali Mrema ndio alibaki hai, Sasa Mrema amefariki na kukifuata hicho chama huko ahera.
 
Ila kenembo ka jogoo si bado kanaonekana?? watarudi tu upepo wa siasa haueleweki usishangae 2025 wakaja kwa kishindo.
 
Ofisi yao kulikuwaga na lisanamu la mrema vp bado lipo

Ova
 
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
hata CHADEMA akifa Mbowe na chenyewe kitazikwa naye. Ndio maana hataki kuachia uenyekiti, ni SACCOS YAKE ILE.
 
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
Kwani chadema bila uwepo wa Mbowe hapo kuna chama kweli?
 
Act wazalendo,cuf vyote vitaapita njia hiyo.
 
Chama cha upinzani ni chadema pekee vingine ni vyama vya wala ruzuku
 
Leo nimepita pale Magomeni Usalama yalipo Makao Makuu ya Chama cha TLP kilichokuwa kinaongozwa na Hayati Kada Augustino Lyatonga Mrema.

Jengo la Chama limechakaa na inavyoonekana hakuna shughuli zozote za Kichama zinazoendelea pale.

Tunaposema Vyama vingine sio vya Upinzani ni Pamoja na TLP.

Inaonyesha TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema kwa ajili ya kuvuruga Upinzani na ndio maana Mrema aliweza kumnunulia Fomu mgombea Urais wa Ccm Hayati Magufuli na Magufuli baada ya Kuwa RAIS akamtunuku CHEO Bw. Mrema.

Kuthibitisha kuwa TLP kilikuwa Chama Binafsi cha Mrema mbona toka Mrema Afariki na TLP ni kama kimekufa? Hakuna kiongozi yoyote anasikika kukiongoza.
Utakua ulikua nje ya nchi, kabla hajafariki Mrema na TLP aliikabidhi CCM, na funguo za ofisi alimpa jiwe wakati wa kampeni.
 
Mkuu TLP ilikuwa imeshakufa, bali Mrema ndio alibaki hai, Sasa Mrema amefariki na kukifuata hicho chama huko ahera.
Sijawahi kuamini kwamba mrema alikuwa na akili timamu ya kuwa hata kiongozi wa mtaa
 
Back
Top Bottom