TKZEE walikosea wapi?

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,136
3,924
Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so

Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.

Naskia waliwin Grammy ka sikosei.Ila kundi lao lilivunjika sijui sababu ni nini.Kabelo nilikuwa namwona chanel O.Zwai producer.Shibobo dlala mapatsula,palafala zilinikuna sana.

Walikosea wapi?Sababu ya kufa kwa kundi lao unafananisha ni sawa na za makundi gan bongo?
 
Kabelo Ngakane ndie alikuwa channel o, na Kabelo Mabalane alikuwa group la Tkzee.
 
Nilikuwa nawakubali sana hao watu,kupotea kwao kwenye game kumenisikitisha sana
 
Wangrata haki etsa haki etsa so,
Wangrata haki etsa haki dlala so

Tokollo,kabelo na zwai.Miaka flani ya late 1990s to early 2000s hawa jamaa walitisha na kwaito yao.

Naskia waliwin Grammy ka sikosei.Ila kundi lao lilivunjika sijui sababu ni nini.Kabelo nilikuwa namwona chanel O.Zwai producer.Shibobo dlala mapatsula,palafala zilinikuna sana.

Walikosea wapi?Sababu ya kufa kwa kundi lao unafananisha ni sawa na za makundi gan bongo?

Usichanganye kabello Yule mwenye rasta wa channel O na kabello wa tkzee ni Watu tofauti.
 
Mimi mshamba sielewi

b1a5f8222dc7bb257cea4c9b73671062.jpg
 
Tkzee walitisha sana, wangrataa, shibobo na ngoma moja nimeisahau walipiga wapo uwanjani dah
 
Back
Top Bottom