GE2025 TK Movement Kilimanjaro waahidi kumtafutia Rais Samia kura za ndio

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.

Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.

Screenshot 2025-08-19 061951.png

Akizungumza na Banana Fm katika mahojiano Maalumu Hii leo, amethibitisha Hilo, akisema kwa namna Utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan hawana Budi kumtafutia Kura za Ndio, ili akamilishe Maendeeo anayoyafanya Mkoani Kilimanjaro na Tanzania kwa Ujumla.
 
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.

Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.

View attachment 3446319

Wakamatwe waeleze watamtafutia Samia kura za ndio kwa namna gani wakati Samia mwenyewe ndio anapaswa kutafuta kura na sio kutafutiwa.
 
Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.

Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.

View attachment 3446319

Akizungumza na Banana Fm katika mahojiano Maalumu Hii leo, amethibitisha Hilo, akisema kwa namna Utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan hawana Budi kumtafutia Kura za Ndio, ili akamilishe Maendeeo anayoyafanya Mkoani Kilimanjaro na Tanzania kwa Ujumla.
Huyo jamaa ni mtanzania kweli? Uhamiaji mpo wapi?
 
Back
Top Bottom