Inakuhusu?unatumia simu aina gani?
Mbona tecno ni simu nzuri tu.Inakuhusu?
Tecno ndiyo simu gani? Mimi naangalia JF kwenye pc kwa raha zangu na bundle ya 50GB kwa mwezi kwa mtandao wa smile.Mbona tecno ni simu nzuri tu.
Punguza stress[emoji23] [emoji23]