Tizama maandalizi ya UKUTA

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,340
Reaction score
3,394

Kwa aliyepanga kuandamana ajipange sawasawa
 
Zitawekwa picha za kila aina mkitamani kusikia hairisho la UKUTA, ila bado sijajua ni kwanini mnatumia nguvu nyingi kiasi hicho hasa kwa raia hasiye hata na punje ya mchanga kiganjani kwake?
 
Zitawekwa picha za kila aina mkitamani kusikia hairisho la UKUTA, ila bado sijajua ni kwanini mnatumia nguvu nyingi kiasi hicho hasa kwa raia hasiye hata na punje ya mchanga kiganjani kwake?
Polisi wajue kuwa wataua na ndugu zao.
 
Hayo ndo mazoezi wanafanya kila siku so hamna kipya.

Hizi picha zinasambaa kila kona mtandaoni najua aliyeanzisha dhumuni lake hasa ni kutisha watu wabadilishe mawazo, kuua so step by step.

People are not stupid, alafu UKUTA hivi kwani nani kasema ni vita au fujo? Mi nachojua wataandamana kama maandamano mengine tuliyoyazoea bongo, Tanzania hawana fujo kwenye siasa, fujo zao hua ni kwenye mambo mengine.
 
Nimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.
Tehehe ila Rais wa nchi yako anajua?
Na IGP anajua? Sasa kipi kinaifanya Pombe iingie "ubaridi" kiasi cha kuandikwa hisijaribiwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…