Waonyeshe ushujaa Syria siyo kwa raia wanaostarve na njaa!Tar 1 sio mbali wewe jitokeze u test zali
Waje tuzipige kavu kavu, waweke kwanza silaha kando, unajiitaje mbabe huku umebeba silaha??Utajipangaje wakati RAIA hana silaha, wao ndo wenyesilaha
Polisi wajue kuwa wataua na ndugu zao.Zitawekwa picha za kila aina mkitamani kusikia hairisho la UKUTA, ila bado sijajua ni kwanini mnatumia nguvu nyingi kiasi hicho hasa kwa raia hasiye hata na punje ya mchanga kiganjani kwake?
Eti bwana, mazoezi kwa watanzania wenye njaa, nenda Syria mkapambane na wanaume wenzenu!Wangefanyia mazoezi Syria ningeshtuka. Hii mikwara mbona ni ya kila siku?
Tehehe ila Rais wa nchi yako anajua?Nimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.
Au utafiti wako umeiusu familia yako tu?Nimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.
Hapo ndio utaona akili zao zilivyo ndogo
Hivi mtu hana silaha unajipanga hivyo iliiweje?
Huenda wengine wanaelewa ukuta kwa namna nyingineNimefanya utafiti wa kuhoji watu wengi kama wanajua chochote kuhusu UKUTA, 96% hawana habari kuhusu tarehe 1 Sept na hawajui ukuta ni nini.