Tizama jinsi Watanzania tulivyo na tunavyodhulimika

Tizama jinsi Watanzania tulivyo na tunavyodhulimika

Tafadhali sema baadhi ya WaTz. Ila unavyo generalise WTz wote ni wapumbavu hii ni kuwatukana wa TZ waote
I meant no offence. Naipenda sana nchi yangu na najivunia sana kuwa Mtanzania
 
unaweza jikuta uanapata stroke kwa kufuatilia maisha yanayoendeshwa nz hiki chama sisimu
 
Tatizo na dawa ya hayo yote ni hii hapa mali ni kitu chochote ulicho nacho ambacho ikiwa ni fedha au nyumba au gari nk no mali lakini rasilimali ni kitu ambacho kinazalisha faida mfano duka au gari la abiria nk kwa hyo unaweza kubadili mali yakon iwe rasilimali ili upate zaid tofautibya ulaya ma afrika ni sisi tina mali nyingi wao wana rasilimali nyingi kwa hiyo wao wanapata zaid kwa kuwa tabia ya rasilimali nivkuongeza mapato sisi hatupati kwa kuwa tabia ya malinyingi ni kupungua kwahyo cha kufanya ni kubadili mali kuwa rasilimali mfano viongozi wetu wanapoenda nje wasiende kuomba fedha maana fedha zinaisha balo waende kutaka viwanda maana tutapata ajira na faida poa mali kama fedha zitaongezeka wazungu hawaoni tabu kutupa fedha kwakuwa wanajua zinaisha na hatuwezi kubadili fedha kuwa rasilimali kwakuwa tunanjaa kwahiyo tupate viongozi ambao watakuwa na akili ya kwenda ulaya kutaka viwanda sio fedha kwa kuwafedha zinaisha bali viwanda vinazalisha zaidi ajira na fedhajuu hii ndio dawa ya umasikini kwa afrika.swaliuliza.
 
Tanzania Mineral Dealers Association chairman Sammy Mollel said the business created by exports of raw Tanzanite has created 250,000 jobs in Jaipur, India, and just 119 in Tanzania (Kumbuka kuna tatizo la ajira nchini)

In 2012, Jaipur exported cut and polished tanzanite worth $82 million, equivalent to what Tanzania earned in a four-year period.

Globally, the tanzanite trade earns $500 million a year; Tanzania earns $20.75 million from its exports of Tanzanite.

Nikisomaga article kama hizi huwa napatwa na huzuni sana! Tulikosea wapi jamani? Tumlaumu nani? Serikali ya CCM? Mungu? Au shetani?
Tuamkeni jamani!
========================================



Source: theeastafrican

Tatizo ni ccm.
 
Nahisi ni tatizo la serikali yetu na mfumo tuliokua nao ambao ni mbovu na hauoni faida ya mineral beneficiation.Study by Department of Mineral Resource (2011) on A BENEFICIATION STRATEGY FOR THE MINERALS INDUSTRY OF SOUTH AFRICA imeonesha matatzo walionayo watu S.A. kua ni unemployment na poverty na wameonesha kua hayo matatizo yanaweza kumalizwa kwa Mineral beneficiation. Mineral beneficiation aims to improve the quality of a mineral thus means the more unavozidi kuremove mauchafu kwenye Ore yako ndio unazidi kuongeza value ya Mineral yako na pia unazidi kuongeza ajira (Mtegha, 2014).

Reason inayotufanya tusifanye Beneficiation ni kutokana na shortage of skills na poor technology mana hivo ndio vitu muhimu sana ili uweze kufanikiwa katika Beneficiation. India wana technology na skills na ndio mana wanafanikiwa. Stage za Beneficiation zinaanzia kwenye Mining, Processing, Smelting and Refining and lastly is Manufacturing. Level of employment inakua kubwa katika Mining then inapungua katika Processing and Smelting and Refining stage na kuongezeka katika Manufactuiring. Inakua kubwa katika Mining kwa sababu kutoa madini underground hamna cha teknolojia zaid ya Human labour ila inapungua katika stage nyingine kwa sababu ya technology kama Mashine za kusaga na kuleach kama dhahabu na uwepo wa smelter ambayo unaweza weka operator mmoja akawa anarun mhuo mtambo.

However yote yanawezekana hata kama hatuna technology au skills. Ernst and Young (2013) wameonesha kua Singapore ilikua inalack skills na technology ila walifanikiwa sana ingawa walikutana na vizingiti vingi. Singapore ni best exporter wa Iron ore to China na China wanatumia for construction na development of their country. Singapore aliforce hiyo system ianze kutumika nchini kwao alikutana na vizingiti akaamua kuintroduce kitu kinachoitwa Exportation levy kwa unbeneficiated ore na ilikua ni 25% ila alivoona watu wanaweza kulipa akaiongeza to 50% in 2013. China alivoona hali iko hivo akaanza kuleta vizingiti na mwisho wa siku ikabidi akubaliane na Singapore na akaenda kuinstall smelters for beneficiation na kupeleka Skilled labour wao ili wakawork kule na at the same time hao skilled labour wako watrain watu wa Singapore. Hiyo situation ilisaidia kulower level ya unemployment. Naamini sisi tunashindwa kutokana na kutokua tayari kusikiliza ushaur na kuamini tunaweza na yote yanatokana na watu kuanya kazi kwa mazoea na ndio kitu kinachotutesa.

Yote yanawezekana na yanategemea na utayari wa viongozi wetu kukubali mabadiliko na ushauri wa watu wanaojua mambo na sio kufanya kazi kwa mazoea.

Mungu awe nasi daima
 
Hivi umewaona Watz wapumbavu au wewe ndio mpumbavu, ji access na mada yako hiyo. Kuzungumza ni rahisi sana
 
Shida kubwa ni kwamba viongozi serikalini wamekata tamaa na wananchi wamekata tamaa pia so kila mtu anafikiria njaa yake ya leo,nobody is thinking or talking of Macroeconomy,ukiwasikia wakiongelea oil & gas ni kama vile huo uendeshaji wake ufanywa na aliens from mars
 
Back
Top Bottom