Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 453
- 665
Msanii maarufu wa nigeria, Tiwa savage amesaini na kampuni ya kurekodi na kusimamia wasanii ya Roc Nation Ya Jay Z. Deal Hilo pia lilishuhudiwa na bosi wa Mavin Records, Don Jazzy.