Titanic sunk by steering mistake, author says

Walipitisha sheria kali marufuku kutengeneza meli kubwa tena kama ile kwa ajili ya abiria.

Mkuu acha porojo CRUISE SHIPS zipo kubwa zaidi ya ile nyingi sana ukienda marekani,australia,uingereza,CHINA hata DUBAI hapo utakutana nazo za kutosha watu wanakula maisha kama kawaida ila saizi usalama ni mkubwa sana ajali ya kizembe haiwezi kutokea
 
pamoja sana mkuu...! na je enzi hizo hakukuwa na rescue ya vitu kama helcoptal au boti zenye mwendo kasi!?
 
Lile barafu lilikuwa la ajabu sana maana mabaharia alivyomfahamisha nahodha kwamba meli ilishatembea km 6300 na sasa imetembea km 30 kukata barafu meli ilikuwa poa sana aina tatizo, na ilikata iceberg kubwa kuliko lile
duh .ilikuwa hatari sana mkuu...
 
Jamanii... Swali Ambalo Halijajibiwa Na Ni Muhimu Ni Kwamba Ile ICE Ilijitengeneza Vipi Kule Baharini Na Kuwa Kama Mlima?
 
pamoja sana mkuu...! na je enzi hizo hakukuwa na rescue ya vitu kama helcoptal au boti zenye mwendo kasi!?

meli ilikua deep sea hata helkopta zisingeweza alafu ni miaka ya 1912 huko mambo yalikua bado sana.Speed bot haziwezi kwenda deep sea kuna mawimbi makubwa sana na ndani ya meli kulikua na boti ilia zilikua chache so walianza kuokoa wanawake na watoto walijua wanaume wanaweza kuvumilia mikiki mikiki huku wakiwa wanasubili kuja kuokolewa ila bahati mbaya meli ya kuwaokoa ilikuja baada ya siku tatu inaitwa MV. CATHIPALIA
 
Jamanii... Swali Ambalo Halijajibiwa Na Ni Muhimu Ni Kwamba Ile ICE Ilijitengeneza Vipi Kule Baharini Na Kuwa Kama Mlima?

Bahari za wenzetu huwa zinaganda kabisa hadi unaweza kutembea kwa gari kutoka dar hadi mbeya ndio maana saizi kuna meli zinaitwa ICE BREAKER huwa zinakitu kama ki nundu hivi kinavunja barafu kuna mashine imewekwa pale mbele ya kuvunja barafu
 
Huyo captain alikua ni mzoefu Wa kupita ktk hiyo bahari kwa Zaidi ya miaka 25. Unataka kusema alikua haujui vzr hiyo bahari? Au alitumwa kuwauwa matajiri wakubwa wachache waliopanda hiyo meli ambao walikua wana pinga mfumo Fulani Wa kimabenki uliokuwa unataka kuanzishwa?
 
hapana mkuu hao matajili ndio walimshinikiza aongeze spidi ya meli ili wawai sikukuu ya chrismass mkuu captain akawaambia ni hatari jamaa wakamtisha kuwa kibarua chake kitaota nyasi alafu injinia wa meli alijigamba kuwa ile meli hata mungu hawezi kuizamisha ila cha moto alikiona naye alishitakiwa
 
Walikua wakiawaacha wanaume makusudi kwasababu walikua wakitaka watu Fulani wafe!
 
Xmass? Kumbuka hiyo Xmass haina uhusiano wowote na Christmas...

Xmas ni ibada za kishetani zinazoambatana na Ngono na madhambi mengine😕
 
Sawa lkn captain alikua ni mzoefu ktk hiyo bahari kwa miaka 25 ata km ingekua speed vp bado hiyo bahari alikua anaifahamu vzr sn. Kwanini wafe?
 
Bahari za wenzetu huwa zinaganda kabisa hadi unaweza kutembea kwa gari kutoka dar hadi mbeya ndio maana saizi kuna meli zinaitwa ICE BREAKER huwa zinakitu kama ki nundu hivi kinavunja barafu kuna mashine imewekwa pale mbele ya kuvunja barafu

Iyoo Sawaa Haina Tatizo Kuelewa...
Lakin Hebu Fikiria Sasa Maji Yanaganda Yanakuwa Kama Mlima?? Kivipi Mkuu??
 
Iyoo Sawaa Haina Tatizo Kuelewa...
Lakin Hebu Fikiria Sasa Maji Yanaganda Yanakuwa Kama Mlima?? Kivipi Mkuu??

Ndio ice berg iyo mkuu kwa ulaya sio kitu kipya tembea uone mkuu
 
Iyoo Sawaa Haina Tatizo Kuelewa...
Lakin Hebu Fikiria Sasa Maji Yanaganda Yanakuwa Kama Mlima?? Kivipi Mkuu??

ingia google andika ice berg formation utapata majibu yako mkuu
 
ingia google andika ice berg formation utapata majibu yako mkuu

Nataka Nikutoee Gizanii Mkuu, Hayaa Ndio Kama Yalee Ya Binadamu Wa Kwanza Alikuwa Nyanii...
Japo Tuliyatumia Kupatia Vyetii Lakini Usiamini Sanaa
 
Ile meli walikosea walipoikwepa ile iceberg kwani wangeigonga kwa mbele madhara yasingekuwa makubwa sana kuliko kuigonga kwa pembeni
 
Ile meli walikosea walipoikwepa ile iceberg kwani wangeigonga kwa mbele madhara yasingekuwa makubwa sana kuliko kuigonga kwa pembeni

ushakuwa Mtaalam Wa maswala Ya Bahari?..basi sawa mkuu wamekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…