Kuzama kwa limeli hili ni mchezo ulotengenezwa barabara, kwa lengo na makusudio yake, ukisoma katika machapisho mbali mbali, meli iliyotumika sio meli iliyokusudiwa, walitumia meli nyingine, ukiangalia hata nahodha wa titanic hakufa kwenye ajali kwa maana meli yake haikusafiri wala wafanya kazi wengi wa meli husika, palikuwa na change over usiku ule wa meli kuondoka na ilikuwa ni makusudi kabisa hata zile shehena za dhahabu hazikuwa kwenye meli ilopata ajali, nahodha alipewa ramani ya safari yenye lengo la kumpeleke kwenye miamba ya barafu ili wapotelee huko, ukiangalia kwenye manifesto original ya meli watu wengi tu wako hai, hawa ni wale ambao walitolewa kimya kimya kabla ya safari na wengine walitengenezewa mazingira ya kushindwa kusafiri. Ile meli original ilibomolewa na vyuma vyake katika tons of tons kuuzwa china kama chuma chakavu.