Titanic sunk by steering mistake, author says

Titanic yenyewe ni kufuru, upo juu / ndani ya kufuru halafu huhusiki na kufuru?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Unafanya nini huku nenda jukwaa la Habari Na hoja mchanganyiko fasta kaka kazua mambo kule. , njoo fasta bana
 
Akili za hivi ni sumu sana kwa ubongo wa wanadam wengi,Yaan kwa maana nyingine mungu aliizamisha meli ili ku-prove kwamba yeye ndio kila kitu?.Kwa hiyo wale waliokufa walihusikaje na kauli za walioitengeneza?.Hivi mungu anayelipiza kwa kufanya maovu ili ifahamike kwamba yupo ni mungu kweli,?Huwa nafuatilia mijadala mbali mbali unayochangia humu Jf uko vizur lakini katika hili Uko ndani ya BOX dadangu.

Siku hichi kizazi kikikomboka kifikra muda utakuwa umeisha.HAKUNA MUNGU so enjoy your life to the maximum
...karibu katika ulimwengu huru...
 
safi kabsa.
 

Naam, hicho ni kipigo kwa wenye kukufuru.

Huna uhuru zaidi ya kuwa ni mtumwa wa ibilisi.
 
Uko sahihi nafikiri....kuna wazee wawil tofauti waliwahi kunipa hii story kama ulivosema kabisa
 
Sasa mbona kuna wengine walikufa hata hawahusiki na hayo maneno ya kufuru, huyu mungu kwakweli bhana dah!
wafia dini wana shida sana mkuu...kila kitu anasingiziwa mungu tu ata vitu vya ajabu
 
Basi huyo mungu ni gaidi...kama anaua hadi wasiohusika

Yeye ndiye mwenye kutoa na kutwaa uhai. Yeye ndiye mwenye kukadiria kila kitu.

Kama huna mabaya kwanini uogope kufa?

Naam, wanao kufuru wana hofu ya kifo kwa kuwa mnajuwa adhabu inayowangoja huko. Hakika wasio kufuru wanajuwa kuwa wanatembea na umauti na hawana hofu nao kabisa.
 
Ina mana zile aina za majini kule hujaziona? Umeeitwa Sana kule, nenda bana
 
Thats wasn't Titanic madam but her csta ship very similar to it nina documentary with many professional arguments if u wish nitakupa inajibu maswali mengi sana issue kubwa ikiwa ni maswala ya bima
 
Hakuna anaeogopa kufa...ila pia hakuna mungu mwenye roho mbaya...et aue watu maelfu kisa kufuru ya mtu mmoja..!
 
Ilizamishwa kwa makusudi na watu fulani kwa lengo la kiuchumi, watu wachache kwenye meli ambao ni target waliwaponza wengi wasio na hatia...
Thats it umeifuatilia hii meli like me I think
 
Kwa kuongezea tu sister ship ya titanic ilikuwa imepata ajali mara kadhaa hvyo ikahitaj matengenezo makubwa ambayo yangeitia hasara kampuni hvyo mabosi walikaa na kukubaliana na captain washift position ya hz meli mbili zilizokiwa zkifanana sana kwa kuwa ni same class ili wakaizamishe ile meli ya awali na kulipwa bima kubwa .
 
Mmmh ulikuwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…