hahahah! Kiduku ni mziki mwingine kabisa sio rahisi kuucheza!, anayo madude akirusha moja pale new york city athari zake zitasomwa hadi miaka 1000 huko mbele.Lakini hawawezi kwa kiduku na AYatollah.
Kuna dalili hata wananchi wa Malawi watawasindikiza US Navy mpaka anakojifungia kiremba.Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
Marekani atashindwa kukudaka kama wananchi wako wanakussuport. Kiduku akae vizuri na Raia wake akijifanya ananyuklia huku ananyanyasa raia wake wamarekani wanakunyakua tu.Lakini hawawezi kwa kiduku na AYatollah.
hiyo nchi mbona ni ya kindezi? Ndege nyingi zinaruka kwenye anga lenu ina maana hamzioni mzitungue?Walipanga na kufanya rehearsal ya kutosha. Operation ilihusisha ndege za kijeshi 150!
Kidukiu ana rasilimali gani ambayo itamfanya us aache mambo yake yote amtafute?Lakini hawawezi kwa kiduku na AYatollah.