Unashauri nini kifanyike?Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
Mfano upi?Wakwetu hapa waige mfano.
MkuuYani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
Wewe unafikiri Marekani ni M23? Kweli akili yako haina akili.Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
TISS yetu haikumdanganya mama yetu?Yani Usalama wa taifa wa Venezuela bure kabisa siyo wazalendo. Wamehusika asilimia kubwa Maduro kukamatwa.
Yani badala ya kumlinda mkuu wa nchi wameacha maadui waende hadi chumbani kwake tena wakiwasindikiza.
Bure kabisa.
ayatollah ni mweupe wakitaka kumdaka watamdaka asubuhi tu na mchezo unaishaLakini hawawezi kwa kiduku na AYatollah.
Walipanga na kufanya rehearsal ya kutosha. Operation ilihusisha ndege za kijeshi 150!Mkuu
Usitafute kuhadaa umma. Marekani ilijipanga na kutekeleza plan yao bila kutegemea hao matisi ya huko.
Hukuona makombora yaliyoangushwa kambi za jeshi kabla ya kumdaka mtu wao?