TISS tangazeni nafasi kama US Secrete Services

TISS tangazeni nafasi kama US Secrete Services

Pia kulinganisha USA and tz Ni sawa kulingalinisha bodaboda na no dewji kiuchumi. Msiwe mnarukia kila kitu Kama marekani jamani.
Kule Ni dunia nyingine kabisa sio duniani ya huku inayoitwa earth
Oky tulinganishe Tz na sounth Sudani
 
Mawazo ya kuiga ndo yanaleta kichefuchefu!! Sababu ni dhaifu eti kwa kuwa marekani wanafanya hivyo na sisi tufanye hivyo!! Utaiga na vichafu!!
Penye Zuri tunachukua, kutangaza nafasi katika uwazi tunapata watu sahihii bila kuleta watu wanaotokana na Godfather.
 
Tz kitu kinaenda by connection na ngojea nikupe namba yake mfuatilie mwenendo wake ukijichanganya tu umekosa credit
 
Wamekusikia kijana, sasa ofisi zao si unajua zilipo fika pale ukawape hilo darasa nafikiri watafurahi mtakunywa na chai.
 
Umesema ukweli
Ila hao jamaa hata kazi zao sioni matokeo chanya kwenye Taifa labda kuiba kura wakishirikiana na Ccm
 
Back
Top Bottom