Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
hiyo shilingi moja ipo na watakurudishia tena huwa mpya kabisa nadhani wanatoa benki kuu, cha msingi labda ukirudishiwa utaitumia wapi?
Ipo....
Kwani we ushawahi kusikia kuwa Shilingi moja haitumiki?
yaani hasa voda ndio huwa zao..
khaa kumbe ipo basi yule tajiri M, hakukosea kusema ataidai hiyo shilingi moja
wale walimalizana nje ya mahakama, enzi zetu ndio ilikuwa ya kulia ufuta, mihogo, ashikirimu, bagia n.k
sasa hivi haina thamani tena kwa kweli dah, hata sijui inafananaje sasa sh10 yenyewe sijaiona mda kweli
niliitumia enzi za mwalimu na kwa sasa imepotea kabisa hata haina thamani mdogo wangu
Nenda kanisani uombe kuhesabu sadaka utaiona 100
Free Manson @ work
trick za kibiashara.
Teh kimahesabu ipo tena hadi cents...
Ila physically labda kwa babuuuu
Teh teh nimeotea tu..babu yupi tena huyo?
Chaaaa kumbe na wewe unajua mahesabu?
Teh teh nimeotea tu..
Mzima??