Kwani Mufti ana level ipi ya Ilmu?
Je hao viongozi wa Bakwata?
Takbiir.......!
Mufti wawisho alikua ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti. Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Dah Hatar mkuu kiongoz wa dini kuwa na makandokando Kama hayoMufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.
Akaja Marehemu Simba ndiyo kabisaa, akaboronga boronga kabla ya kwenda zake. Zaidi akaishia kufumaniwa na wake zake huko hijjah akizini na hawara walipokwenda kuhiji mecca
Mimi napita tu! Ila wewe una uhakika gani kama kilichosemwa ni uongo ama ukweli? Na wewe unaelekea katika mkumbo wa kusingizia kama si kusema uongo.MUOGOPE MUNGU SANA,
UNAMSINGIZIA MAITI HUOGOPI WEWE,
KOSA KUMSINGIZIA ALOKUWA HAI, JEE HUYU ALOKUWA MAITI JEE?
VIPI UTAMUOMBA MSAMAHAN WAKATI HAYUPO TENA, USIWE UNAFANYA MAMBO KWA KUFURAHISHA NAFSI AU KWA AJILI YA CHUKI NI HATARI ZAIDI.
NA HATARI ZAIDI YA KUWA ULIPOMSINGIZIA NI PAHALI PATAKATIFU AMBAPO WAISLAM WOTE WANAKUTANA KUTIMIZA NGUZO YA TANO PAMOJA NA KUMUOMBA ALLAAH AWASAMEHE MADHAMBI YAO.
LEO UNAKUJA KUSEMA YA KUWA MUFTI KAZINI! HATA ANGEKUWA SI MUFTI, MTU YOYOTE YULE HAUWEZI KUMSEMEA KOSA HILO.
JEE WAJUA YA KUWA KATIKA UISLAM KUMSINGIZIA MTU ZINAA, ADHABU YAKE NI KUPIGWA FIMBO THAMANINI?
LAITI HUKUMU YA ALLAAH INGEKUWA INATUMIKA BASI WEWE SASA HIVI NI KUHUKUMIWA FIMBO HIZO, NA BORA ZAIDI KUPATA HIYO HUKUMU KULIKO ADHABU AMBAYO ALLAAH ATAKUTIA KATIKA MAISHA YAKO YOTE YA HAPA DUNIANI NA KABURINI NA MPAKA KUKUFULIWA.
KWA HILI HUNA MSAMAHA MPAKA UMUOMBE MWENYEWE SAMAHANI, SASA SIJUI UMEJITAYARISHA VIPI KUSIMAMA MBELE YA ALLAAH NA KUMPA HOJA YA KUWA KWA NINI ULISEMA HIVI, NA PIA SIJUI ULOMSINGIZIA HATA HIYO SIKU YA SIKU ATAKUWA MWENYE KUKUSAMEHE.
NOTE:
MUFTI SIMBA SIMJUI NAMSIKIA TUU, ILA NIMESEMA HAYA KWA YOYOTE YULE ANAEMSINGIZIA MTU UONGO, UWE WOWOTE ULE, AJITAYARISHE MAKAAZI YAKE MOTONI
Herufi ndogo zingefikisha ujumbe ulioukusudia bila kukalfisha nafsi za watu kwa miherufi mikubwa.MUOGOPE MUNGU SANA,

mmmh Kwanini akusomewa Albadli huko uko???Mufti wa mwisho alikuwa ni marehemu Hemed bin Jumaa bin Hemed. Hawa wengine wote waliofuata hakuna hata mmoja aliyewahi kuenea kwenye kile kiti.