Tired of rat race. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tired of rat race.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by STREET SMART, Mar 19, 2010.

 1. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  Jf

  wakuu after two years toka ni graduate na kuwa employee, najiona live niko kwenye kamchezo ka paka na panya i.e always nahangaikia swala la pesa bila ya kujua way out. Nikiangalia 10 years za kuishi life style hii napata kizunguzungu. Lakini proper diagnosis is half a cure. Naamini hapa jamvini ntapata wisdom ya kutosha na ikiwezekana hata path ya kupita kuondokana na life hii. Nna wazo la kustart business lakini sijui na wala sijawahi kufanya biashara yoyote toka nizaliwe. Nionyesheni njia wakuu.
   
 2. Madabwada

  Madabwada JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2010
  Joined: May 8, 2009
  Messages: 537
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  go through the below thread

  https://www.jamiiforums.com/business-and-economic-forum/49326-nisaidieni-jamani.html
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Khaaa! mbona usema hiyo ni breaking news! Ugumu wa maisha bongo ni breaking news?
   
 4. kimatire

  kimatire JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2010
  Joined: Nov 27, 2008
  Messages: 365
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapo hapo kutambua tatizo ni mwanzo wa ufumbuzi
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  fursa ziko nyingi sana, ndugu. kwa mfano unaweza kuanzisha kahoteli kwa kuangalia hivi vitu viwili; physical evidence na Key success factors. Hizi ni tips tu. Haijalishi kuna biashara ngapi zilizofanana hapo. Utafanikiwa
   
Loading...