Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,701
- 61,225
ha ha ha ha weka hofu pembeni mkuuHalafu mnasema tz kuna korona!!
Labda mdogo wake korona lkn kaka lenyewe naona bado lipo huko mambele siku likitimba mbona mada zitageuka tu!
Vichwa vya habari vitakuwa
"Jamani hivi ukishaweka pilipili hoho, muarobaini na nazi na konyagi ndo unajifukiza au bado..?"
ha ha ha kama una hizo sifa mkuu hongera sana, najua utakuwa umekutana na mabaharia wengiKama umuhimu wetu ni huo bora tu nikazane na mazoezi niwe slim.
ha ha ha wanaita zali la mentaliNa hii baridi kuna mtu anatamani asikie " okonko sorry nimekuja ghafla"
Wanaong'ang'ania mifupa ni fisi mkuuHata mbwa anaweza acha nyama akang'ang'ania mfupa. Mie siwakubali hao tipwa tipwa hata kigogo
Jiandae kwa povu mkuu"Kipindi hiki wadada wembamba mapaja yao yanakuwa yabaridi kama panga lililo lala nje"
Mwisho wa kunukuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu,ukipima malighafi unatamani ubaki humo humoMatipwa wanakauli mbiu yao kwamba injini zao ni za moto muda wote
Wanatofautiana mkuu, ndio maana hakuna anayependa kula nyama ya ng'ombe aliyekongorokaWanawake wana joto lao kwenye kipimo barabara kabisa si mnene si mwembamba.
πππππππHalafu mnasema tz kuna korona!!
Labda mdogo wake korona lkn kaka lenyewe naona bado lipo huko mambele siku likitimba mbona mada zitageuka tu!
Vichwa vya habari vitakuwa
"Jamani hivi ukishaweka pilipili hoho, muarobaini na nazi na konyagi ndo unajifukiza au bado..?"
Basi nitakuwa fisi kwani napenda sana mifupaWanaong'ang'ania mifupa ni fisi mkuu
Na hii baridi mkuu,angalia msigande tuBasi nitakuwa fisi kwani napenda sana mifupa
Nikiona mifupa udenda unatoka kabisa
Hao vibonge wenyewe wanafanya sana dietNa hii baridi mkuu,angalia msigande tu
Kwa nini wembambaHao vibonge wenyewe wanafanya sana diet
Wanakunywa maji na pipi kifua ili wawe slim
Wanakunywa Tangawizi na matango ya kutosha
Thin is beauty my friend ukweli utabaki kuwa pale pale