Tipa inahitajika

Tipa inahitajika

Salimu Panzi

Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
7
Reaction score
11
Wakuu kama kuna mtu ana gari aina ya fuso au canter ambayo ni tipa na ambayo imetumika hapa nchini, kama atakuwa anauza naomba tuwasiliane 0678178694
Onyo sihitaji dalali, nataka mmiliki hasa.
 
Back
Top Bottom