Ting decoder packages

mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.
 
mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.

Channel gani zinapatikana sasa hivi?
 
mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.

kwa kweli mhondo umeniboa kuwadanganya watz kuwa kuna package nzr kwenye aal-003.mpaka ss mna fr moja tu mtakuwaje wazur? Ila naikubal sn ricva yenu kwan unaweza ku2mika kwenye sats zingine.
 
Mleta uzi kauliza channels zainazopatikana kwa package ya elfu 10 na zile za elfu 25. Hajajibiwa.
 
mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.

kwa kweli mhondo umeniboa kuwadanganya watz kuwa kuna package nzr kwenye aal-003.mpaka ss mna fr moja tu 12275 h11200 dvbs2 mpeg4 mtakuwaje kuwa wazur? Ila naikubal sn ricva yenu kwan unaweza ku2mika kwenye sats zingine.
 
Nafikiri umekosea kunukuu mimi sijawahi kuandika kuwa kuna package nzuri kwenye Ting kwa sababu sijawahi kuimiliki. Siwezi kuzungumizia kitu ambacho sikijui.
 
Biashara HURIA.
Hata hivyo * TIMES walikiuka mkataba.walitakiwa kuonyesha channel hizo kwa muda na baadae kuanza kulipia kwa kuwa wao wanapata faida na wakapuuza makubaliano hayo.
 
Startimes hakuna lolote ubabaishaji tu! Mimi ninayo naboreka tu! Nataka kuchukua ya TING sasa!

Kama Startimes wanakuboa, basi nakusihi usichukue TING huko ndo utalia kabisa, ukitaka raha nenda Dstv.
 
Star tv hakuna kwenye easy tv. Kumekuwa tu na kasumba ya kutowapa sifa Startimes ila kiukweli wanafunika ving'amuzi vya bongo. Hizo local channel zisizo Startimes ni capital, tvz, mlimani, Atn, trenet na c2c tu.
Zilizomo ni tbc1, tbc2, channel10, dtv, ctn, itv, star tv, eatv, clouds tv, tv tumaini, sibuka.
Bado kuna fox, fx, movies 1, MGM, star gold, star plus, b4u movies, african movie channel, e stars, MTV base, E! Entertainment, e Africa na nyingine nyingi zinazotimiza idadi ya channel zaidi ya 50.
Wakati easy wana channel 30 tu.
 
Well said mkuu, hakuna wafanya biashara nchini wanao weza kushindana na Wachina wakafanikiwa, Wachina fedha za ku-invest kwenye ventures hizi wanazo sana. Tatizo kuu la wafanya biashra wetu hasa kwenye nyanja za media wanapakukia mambo bila ya kutafakali vizuri, hapa walijitia kuwa na uwezo wa kuingia katika anga za DVB kabla hawajajipanga vizuri, waliopo ambiwa wazime mitambo yao ya analogue wahanza kulalamika eti Serikali iruhusu dual transmission yaaani analogue na Digital eti Watanzania hawawezi kumudu kununua vigamzi/visimbuzi - kwa hiyo walikuwa amepania nchi yetu iendelea na mfumo wa stoneage era mpaka watakapo kuwa tayari - kwa maneno mengine Tanzania isubiri matakwa ya wafanya biashara mpaka watakapo kuwa tayari, walipo ambiwa wapitishe matangazo yao yote Startimes hawataki, wengine waliamua 2 go it alone wengine wakahungana mfano ITV na Star TV walitaka wawe na Kampuni moja ya kusambaza matangazo, baadae wakashindwa kuelewana kila mtu akafanya vya kwake - matokeo yake mpaka sasa hivi wanasua sua tu. Hivi kweli naweza kuamini kwamba watu hawa wana uwezo wa kulipia channels za gharama za juu zaidi ya hamsini au wataendelea ku-rebroadcast free channels kutoka kwenye satellite alafu walipishe watazamaji. Kuna kila dalili za kuonyesha wenzetu hawa hawajajipanga vizuri - nisijuwe siku za usoni itakuwaje.
 
Hii thread ni ya mwaka 2011, leo hii ni 2013... Startv wamejitoa Easytz kama miezi mitatu hivi imepita.
 
walio nazo hadi sasa watutajie chanel zinazopatikana kwa sasa
 
TING HD Ina channel 40, na TING RECEIVER ya dish ina 70, zikiwemo 9 za tanzania
 
TING HD Ina channel 40, na TING RECEIVER ya dish ina 70, zikiwemo 9 za tanzania

Daah, ungepata muda ukatuchambulia ingekuwa vizuri. Watu wanataka kujua channels kwa category. za sports, za Movies, za watoto, za news, n.k. Hebu fanya huu uchambuzi pengine waweza kutufanya tukawa wateja wa TING.
 
kuna MBC2, Z-CINEMA, COLORS, DUBAI ONE;
SMILE OF CHILD, SPACETOON, JEEM TV,
DUBAI SPORT, SETANTA AFRICA NA ACTION,
ALJAZEERA, CNN, na nyinginezo zikiwemo 9 za tanzania.
 
za tanzania tumegee zote,
na ucpolipia zipi znabaki?
 
Kwa sasa zipo kwenye promotion toka july.
malipo yanaanza january 2014.
kuna ATN, TBC1, CTEN, DTV, TRENET, ITV, C5, STAR TV, CLOUDS TV.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…