Mkuu kama wewe ni mtu dini (cristian) basi chukua Ting, lakini kwa mambo ya movie na Intertainment hamna kitu, loc channel ni Tbc na Ch Ten. Mimi ninacho nimekiweka mvunguni na subiri hadi mwezi wa 6Startimes hakuna lolote ubabaishaji tu! Mimi ninayo naboreka tu! Nataka kuchukua ya TING sasa!
Mkuu kama wewe ni mtu dini (cristian) basi chukua Ting, lakini kwa mambo ya movie na Intertainment hamna kitu, loc channel ni Tbc na Ch Ten. Mimi ninacho nimekiweka mvunguni na subiri hadi mwezi wa 6
wamesema wataongeza channel. Mi naona startimes wako juu.
Star times is da best..in my view.
Star times sucks big time!
<>Ting kwenye advert zao kuna decorder za aina mbili, ya 80000 na 120000
Mkuu kusema kweli hawa provider wa sh elf 10 kwa mwezi uusitegemee kupata channel yoyote ya maana zaidi ya wao kukusanaya channel za bure na kukombani kisha kukurushia na kukulipisha kidogo, Vinginevyo hawawezi kulipia programs za maana kwa sh elf 10 yako unayolipia kwa mwezi.Haya leo wapenzi wa TING uwanja ndio huu wekeni mambo, kila siku kuiponda Star Times. Elezeni uzuri na gharama zake, watu tunasubiri. Siku zote nimekuwa nikisema kwa hizi za kulipia hela ndogo ni Star Times tu. Ila kama unayo chenji ya kutumia bora uende DSTV, mengine ni ushabiki tu na kuponda kwa sana.
Ni kweli unachosema,kuna kampuni kutoka UAE inayojulikana kwa jina la ADMC ambayo inaonyesha EPL kwa kutumia decoder inayoitwa HUMAX IR1020HD ambayo ina slots 2 za kuweka smartcards(irdeto2 enabled) gharama zake ni kama eur350 hivi,unapata decoder na muda wa ma2mizi wa mwaka m1 baada ya mwaka unalipia eur105 tu.Aidha unaweza kununua smartcard ya Ajazeera sports ambayo inaonyesha uefa cl FA CARLING CUP La liga SerieA n.k.Inapatikana kwenye satellite NILESAT 201 kwa kutumia offset satellite dish 1.3m.Gharama hizo ni pamoja na usafiri.Sasa uzuri wa smartcards za aljazeera ni kwamba unaweza ku2mika kwenye decoder yoyote inayosapoti irdeto2.Huko nyuma nilisema nafanya utafiti kujua kama decoer ya TING AAL-003 kama inaweza kusapoti irdeto2 smartcard,nikibaini hilo nitanunua aljazeera smartcard kwani yenyewe ni unmarried tofauti na smartcards za ADMC na Dstv.Mi niseme hiviiii,TING AAL-003 ni mpeg4 decorder kama STRONG SRT4669x ambayo huweza kupata kwa chini ya tsh 200,000/=Nataraji nimeelewekaSijui tuseme nn jamani, kwa fans wa sports na movies, hakuna cha STAR TIMES wala TING! Kitu DSTV hawaskip match tatizo ni gharama tu, lkn nimesikia kuna deal ya dekoda kutoka UARABUNI kuna Channels za ukweli anayejua atupe dodoso kidogo