Mkuu na mimi nimeanza kusahau ni siku nyingi kidogo na mbaya zaidi elimu ya juu nimesomea kitu kingine ingawa hakipo mbali sana na haya mambo. I stand to be corrected nitakapochapia, Unajua ili umeme uzalishwe lazima ziwepo positive na negative Ions (Sijui kwa kiswahili tunaitaje hili). Sasa Sulphuric acid tendency yake ya ku-vunjikavunjika (Dissociation) na kutoa positive (H+) na Negative (So4 2-) ni ya haraka na inachukua muda mrefu kuisha.Uwepo wa hizi ions mbili ndiyo unapelekea flow of electrons.And flow of electrons generates electricity. Samahani kwa kuchanganya lugha kiswahili kwenye hii fani ni kigumu kutumika.
Sasa kwanini most prefable ni Sulphuric acid jibu ni kwamba dissociation process yake last longer that the rest na hivyo inauwezo mkubwa wa kuzalisha umeme kwa Electrolysis process kwa muda mrefu zaidi ya kemikali nyingine.
Electroplating ni product ya electrolysis lakini hii madhumuni yake ni kwaajili ya metal plating hasahasa wanaitumia katika ku-cover vitu mbalimbali vya chuma kwa kutumia steel (madini ya bati sijui kwa kiswahili tunaita hivyo?) ili zisipate kutu kwa haraka.
Mi nlifikiri ndo hiyo hiyoMaji ya betri.na tindikali yanatofauti.chezea tindikal wewE!
Thanks,this is very useful indeed,hemu gusia kidogo aina ya reaction inayotokea mtu akimwagiwa tindikali.
Water+what+acid»nini?
Na yale makovu ni living cells kweli?
Sayansi kimu si ilikua inafindisha namna ya kupiga pasi na kutengeneza kachumbari aisee.
jamani,acheni kujifanya wataalam,hv maji makali ya betri ya gari mnayafahamu kwa kiasi gani?wala hayana madhara kwa kiasi hicho,mbona mngeyasikia mengi sana huko kwenye hzo gereji?au mnadhani kule hakuna maadui?hata siku moja mkemia mkuu hawezi kusema ni aina gani ya acid iliyotumika ktk uhalifu kwasababu za kiusalama zaidi.
Tena hayo MAJI YA BETRI
wanayosema ikimwagiwa hata kwenye nguo na ikawahiwa kwa kuchovya kwenye
maji safi wala haiathiriki. Watu wanachanganya sana, haya betri wala
hayana ukali huo wanaojaribu kudanganyana hapa.