Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Mimi nilifikiri suala hapa ni kwamba Acid is concetrated or diluted na siyo kua ni Nitric, Sulphuric, Hydroclolic etc. Kama ni conc ukubwa wa madhara yake uko palepale bila kujali hayo majina. Hii ya battery za magari ninauhakika itakua siyo conc lazima ni diluted acid japo inaunguza, chukua mwagia kwenye nguo yako uone. Pia katika battery za magari tusichanganye hapa, kuna yale maji yanayoongezwa kwa battery ambayo ni ''baridi'' yenyewe si makali (distilled water) yapo kwenye container za 1Litre haya unanawa hata uso wako bila shida. Ninafikirii hata hizo wanazomwagiwa watu zitakua ni hizi diluted Acid, kwa conc acid nashindwa kuimagine hali ingekua vipi.
Nakubaliana kabisa na wewe mkuu, lakini naona umeshindwa kunielewa kitu kimoja ingawa wote tunaongelea kitu kimoja. Acid yenye sifa ya kuwa Highly Corrosive (Inayoweza kutoboa/kuchimba nyama/metal) ni Nitric Acid ingawa concentration inamata nakubali, Sulphuric acid inaunguza lakini haichimbi. Mwenye Taaluma ya Biochemistry atakubaliana na mimi juu ya matumizi ya sulphuric acid kama dehydrant (Inafyonza maji) katika organic compounds zikiwepo Carbohydrates na seli hai za binadamu au kwa maana nyingine inasifa ya kuchoma maana kukausha maji kwenye kitu ni kuchoma si ndiyo??