tindikali inapatikana wapi

tindikali inapatikana wapi

Status
Not open for further replies.
I need to experiment this now.

Mipango yako kumbe ni kuuliza na kujaribu... ngoja wenye roho mbaya waje wakueleze na ukajikuta umetengeneza bomu ukajifilia mbali shaulizo
 
Inawezekana kazi ya acid kwenye betri ikawa ni kuhifadhi charge?

Hapana mkuu, kama unakumbuka chemistry ya form 3 kuna topic ilikuwa inaitwa Electrolysis. Ni kuhusu uzalishaji wa Energy (umeme) kwa kutumia kemikali za kimiminika.Hii Sulphuric acid inatumika kwenye betri ya gari hilo kutengeneza umeme kama nguvu ya kwanza kuwezesha injini iweze kuanza kuchoma mafuta na kuzalisha nguvu ya kulisababisha gari litembee. Bila hii Acid (Electrolyte) kuwepo basi umeme hauwezi kuzalishwa kwenye betri ingawa pia kemikali zingine zinaweza kutumika alternatively lakini hii acid inazalisha nguvu nyingi zaidi na kwa muda mrefu zaidi ndiyo maana ni most preferable.
 
Mkuu una ushahidi kuhusu hayo madai ya Ponda kuhusika na tindi kali?

shut'up..!
Akili zako kama za mama ako.!acha wanaume tujadiliane mambo ya msingi khs masuala ya acid,wewe endelea ku-quote maelezo ya watu na uyatolee arguement na kujifanya grit thinka,ukishindwa kabisa kuja na mawazo chanya,go and refresh ua boy!
 
Acid za kwenye berti za magari si kali kihivyo
Lakini hata kama sio kali kihivyo sasa naanza kuona kwamba bado zinaweza kutumika pia,sababu acid ikikutana na maji kunakuwa na reaction flani na ukumbuke mwili wa binaadamu ni asilimia 98 maji.

Hata hizi incidences za watu kumwagiwa na kupona zinasababishwa na hiyo acid iliyommwagikia muhanga kuwa kuwa zimetumika zote au kuwa diluted au kutengeneza kitu kingine kabisa hapo kwenye ngozi ama sivyo ikimwagwa kwa wingi inaweza kutoboa hata fuvu and you know what that means!! Hivyo naona tusiignore kwa sababu ya dilution yake unless maexpert waje na advanced opinion.
 
Mkuu umenikumbusha acid Teacher wetu wa kemia aliiweka kwenge test tube akaimix sikuambii akatuamia tukae mbali tukasogea huku tukiitizama test tube ilianza kureaction ukafuka moshi then mlipuko uliotokea tulihofu na hatukuona hata kipande cha test tube kilipopotea... Akatuambia hawezi kutufundisha sana kwani tunaweza kuja kutengeneza Mabomu... Practical ndio ikaishia hapo.... ni hatari sana watu wakijafahamu hili... Humu ukiuliza sana watu wanaweza anza kujifunza zaidi nchi itakuwa kwenye dimbwi zito
Huyo teacher wenu alikuwa na mikwara sana,ni lazima tupanue bongo elimu haina mwisho wakina newton waligundua mambo mengi at very old age,keep learning keep learning.
 
Hapana mkuu, kama unakumbuka chemistry ya form 3 kuna topic ilikuwa inaitwa Electrolysis. Ni kuhusu uzalishaji wa Energy (umeme) kwa kutumia kemikali za kimiminika.Hii Sulphuric acid inatumika kwenye betri ya gari hilo kutengeneza umeme kama nguvu ya kwanza kuwezesha injini iweze kuanza kuchoma mafuta na kuzalisha nguvu ya kulisababisha gari litembee. Bila hii Acid (Electrolyte) kuwepo basi umeme hauwezi kuzalishwa kwenye betri ingawa pia kemikali zingine zinaweza kutumika alternatively lakini hii acid inazalisha nguvu nyingi zaidi na kwa muda mrefu zaidi ndiyo maana ni most preferable.

How did I forget elecrosis,you have made me feel very stupid real.naomba nisikuulize kwa nini sulphuric acid ni preferable kuliko solutions nyingine hasa kwa sababu za kikemia,ukipenda sio mbaya kutuweka sawa wananchi wenzako.

Lakini nikikumbuka electrosis sioni ni kitu gani huwa kinafanya watu wanunue acid kurefill,au kuna electroplanting inayofanyika pia?

Alafu,hili swala la watu kumwagiwa,naona kama huwa kuna reaction huwa inatokea kati ya mwili na hiyo acid kiasi kwamba baada ya muda reaction inaicha sababu ya acid kuisha na hivyo kuzuia madhara zaidi? Ni sawa? Na je ni sawa watu wanaotishiwa kumwagiwa tindikali wakianza kutembea na alkali ili kunetralize pale wanaposhambuliwa?
 
shut'up..!
Akili zako kama za mama ako.!acha wanaume tujadiliane mambo ya msingi khs masuala ya acid,wewe endelea ku-quote maelezo ya watu na uyatolee arguement na kujifanya grit thinka,ukishindwa kabisa kuja na mawazo chanya,go and refresh ua boy!
Hey hey hey,man.slow down.
 
Highly corrosive ni Nitric Acid, hii Sulphuric Acid ya kwenye magari inaunguza tu lakini si corrosive. Tatizo la ajira kwa vijana wasomi soon na hii nitric acid itaanza kupatikana kama pipi.Hii ni mbaya zaidi na kwa kemia ndogo tu mtu anaweza kuitengeneza kutoka kwenye mbolea za NPK na Ammonia (Nitrogenous fertilizers). Siwapi desa msije sema nafundisha ugaidi bure.

Wewe utakuja kutuletea matatizo wewe,

Kwa hiyo unapinga uwezekano wa betri za magari kuwa zinatumika kudhuru watu?

Alafu hizo chemicals kwenye mbolea zinaacha udongo wetu salama kweli?
 
Muulize Mwogulu ndo anajua Tindikali inaptikana wapi
 
Delako
We naye mtata,hizo contacts za masupplier wewe za nini? Swali la ziada,report za madaktari na wakemia kwenye matukio haya huwa zinasema aina ya asidi iliyotumika? Sababu kama ni ya kwenye betri nahisi inaweza kutambulika.

Wala sio mtata..huwezi jua yeye anafanya kazi gani..mfano km mimi nimezitumia tangu o level...a level...mpk chuo nimechezea hizo vitu..its all abt science. ..zinamatumizi mbalimbali...ht baadhi ya dawa hizo acid zinatumika...huenda huyo mdau ni laboratory technologist...au ni science teacher...au ni mkemia...zinatumika sehemu kubwa ya science. ..mfano mm nafanya hospitali...sasa utashangaa nikukuambia ht sisi tunazo store...kwa mkemia zipo...maabara mbalimbali zipo pia...so usishangae upatikanaji wake kwa urahisi....ukitaka upewe darasa la acid ni refu tutakesha.....
 
Nimekusoma mkuu.
Hiyo mnayokuwa nayo mahospitali ni corrosive kama hizi wanazomwagiwa watu?
 
Kwa hiyo serikali kutoa leseni maalumu za waingizaji na wauzaji wa betri za magari inaweza kusaidia kudhibiti hili tatizo? Ili kila anayetaka kununua betri arudishe hiyo iliyoharika ikikutwa haina tindikali askari wapewe taarifa haraka? Na kisha tuwe na mamlaka inayohusika na kuziharibu.

Wazo lako tamu ila sio Tanzania labda Tanganyika.
 
Mkuu umenikumbusha acid Teacher wetu wa kemia aliiweka kwenge test tube akaimix sikuambii akatuamia tukae mbali tukasogea huku tukiitizama test tube ilianza kureaction ukafuka moshi then mlipuko uliotokea tulihofu na hatukuona hata kipande cha test tube kilipopotea... Akatuambia hawezi kutufundisha sana kwani tunaweza kuja kutengeneza Mabomu... Practical ndio ikaishia hapo.... ni hatari sana watu wakijafahamu hili... Humu ukiuliza sana watu wanaweza anza kujifunza zaidi nchi itakuwa kwenye dimbwi zito

Hapo alikua anawaonyesha mbwembwe kidogo ili mjue ukiwa mwanasayansi anything can happen na ilikuwa nje ya topic bila shaka na lazima mwalimu alikuwa kijana at that time
 
Highly corrosive ni Nitric Acid, hii Sulphuric Acid ya kwenye magari inaunguza tu lakini si corrosive. Tatizo la ajira kwa vijana wasomi soon na hii nitric acid itaanza kupatikana kama pipi.Hii ni mbaya zaidi na kwa kemia ndogo tu mtu anaweza kuitengeneza kutoka kwenye mbolea za NPK na Ammonia (Nitrogenous fertilizers). Siwapi desa msije sema nafundisha ugaidi bure.

Mimi nilifikiri suala hapa ni kwamba Acid is concetrated or diluted na siyo kua ni Nitric, Sulphuric, Hydroclolic etc. Kama ni conc ukubwa wa madhara yake uko palepale bila kujali hayo majina. Hii ya battery za magari ninauhakika itakua siyo conc lazima ni diluted acid japo inaunguza, chukua mwagia kwenye nguo yako uone. Pia katika battery za magari tusichanganye hapa, kuna yale maji yanayoongezwa kwa battery ambayo ni ''baridi'' yenyewe si makali (distilled water) yapo kwenye container za 1Litre haya unanawa hata uso wako bila shida. Ninafikirii hata hizo wanazomwagiwa watu zitakua ni hizi diluted Acid, kwa conc acid nashindwa kuimagine hali ingekua vipi.
 
Inawezekana kazi ya acid kwenye betri ikawa ni kuhifadhi charge?

Nime google nikakuta hii kitu nikakumbuka mambo ya electrolysis kama sikosei, mara nyingi zinatumika kwenye rechargeable battery

A lead-acid battery is a electrical storage device that uses a reversible chemical reaction to store energy. [ It uses a combination of lead plates or grids and an electrolyte consisting of a diluted sulphuric acid to convert electrical energy into potential chemical energy and back again.

Narudi kwenye hoja yako ya uwezekano wa maji ya battery kudhuru ngozi, kwa kuwa acid iliyopo kwenye battery ni diluted nadhani ndio maana tunaona hata wale wazungu wamedhurika ngozi lakini kama ingekuwa conc sulphuric acid nadhani madhara yangekuwa zaidi ya hapo maana tabia ya acid huwa ina mtindo wa kufuata maji,(yaani inazama faster kwenye mwili kwa kuwa ya ile hali ya umajimaji tena mpaka hadi kwenye mifupa endepo huduma ya kwanza itachelewa hasa ukizingatia wananchi wengi hawana ABC ya kemia badala ya kukumwagia maji wengine wanakuangalia au wanakufuta kumbe ndio wanaisambaza) mfano kama ukiiweka kwenye test tubu alafu ukawa unamimina maji kui-dilute yenyewe ndio itaruka kufuata maji na ndio maana inashauriwa unapo dilute unatakiwa yenyewe ndio uimimine kwenye container lingine
 
Mimi nilifikiri suala hapa ni kwamba Acid is concetrated or diluted na siyo kua ni Nitric, Sulphuric, Hydroclolic etc. Kama ni conc ukubwa wa madhara yake uko palepale bila kujali hayo majina. Hii ya battery za magari ninauhakika itakua siyo conc lazima ni diluted acid japo inaunguza, chukua mwagia kwenye nguo yako uone. Pia katika battery za magari tusichanganye hapa, kuna yale maji yanayoongezwa kwa battery ambayo ni ''baridi'' yenyewe si makali (distilled water) yapo kwenye container za 1Litre haya unanawa hata uso wako bila shida. Ninafikirii hata hizo wanazomwagiwa watu zitakua ni hizi diluted Acid, kwa conc acid nashindwa kuimagine hali ingekua vipi.

Mkuu unamaanisha muda wooote tunazungumzia acids zinazouzwa garage na kuongezwa kwenye betri za magari we were singing for the dogs?
 
unajiuliza tindikali ,watu wana vitu vyenye ncha kali na huulizi wanavitoa wapi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom