Mara ya mwisho kuiona hii kitu kwa macho yangu ni katikati ya mwaka 2001 nikiwa form six kwenye laboratory ya chemistry.Ikamwagika kwa bahati mbaya kwenye meza mle laboratory,fukuto lililotokea pale sio mchezo,meza ikaungua eneo hilo utadhani imechomwa moto,ukweli toka form two nilipoanza kuifahamu hii ilikuwa ndio chemical content pekee inayoogovya kwenye chemistry laborary,wakati huo mtu hata akigusa chupa yenye hyrodrogen peroxide anashtuka na kuruka tena kwa kelele mamaaaaaa anadhani ni concentrated acid
Toka mwaka 2001 sijawahi kuiona tena,nakumbuka ni colourless lakini pia nakumbuka ziko za aina nyingi kama hyrochloric acid,sulphuric acid,ethanoic acid,boric acid nakadharika lakini naamini zote zinatabia sawa sawa.
Pale mwanza miaka ya mwishoni mwa 1990 mbunge wa jimbo la mwanza kabla halijagawanywa baada ya ujio wa kijana masha alimwagiwa tindikali akiwa ofisini mwake,watu wanadai sababu ni kwamba alikuwa anatembea na wake za watu,namkumbuka kwa jina moja bwana shomari,kama ilivyokuja kuwa kawaida kwa upande wangu na yeye alimwagiwa kichwani lakini nadhani yule mtu alimwagia akiwa nyuma yake hivyo eneo kubwa lililoathiriwa ni shingoni.
Kiukweli,na hii inaweza ikawa ni moja ya tatizo la mfumo wetu wa elimu,mpaka leo dhaidi ya kukumbuka kwamba acids zinatumika kutengeneza chumvi sikumbuki matumizi mengine ya hii kemikali na bado naamini haitumiki kutengeneza chumvi hii tunayokula sababu inapatikana naturally (thanks God) kama pale uvinza.
Ni wazi matumizi mengine ni haya ya ugaidi ama kudhuru watu wengine,wakati ule bado mdogo hata mimi niliposikia mbunge wangu kamwagiwa tindikali sababu ya kukwiba wake za watu nilisema "size yake" lakini hivi sasa nimebadirika,sasa siamini hata kama ile ilikuwa ni sababu ya kweli,sasa naona njia sahihi nikuwafikisha watuhumiwa kwenye mikono ya sheria.
Niende kwenye hoja ya msingi,hawa watu wanaipata wapi tindikali,na naona lugha yetu imeipa jina mujarab (tindi-KALI),ni kwenye laborary zetu hizi mashuleni,ni kutoka kwa mkemia mkuu,au wapi? Na hasa matumizi yake zaidi ya huko laboratory ni yepi?viwanda gani vinatumia acid nchini,kuna matumizi yoyote ya kawaida yanayoweza yakamfanya muendesha bodaboda na yeye akawa nayo?
Nenda kwenye duka la spea za magari mwambie mhudumu nataka maji ya betri makali, hiyo ndiyo tindikali....au kwa lugha yako ya kukariri concentrated Surphuric Acid.......
Sio kukalili bali
sikuelezwa.Hivyo unamaanisha tindikali inauzwa na watu hata wasio na
utaalamu wa kuihandle? Hii inatofauti gani na hayo maduka kuuza silaha?
By the way tindikali inafanya nini kwenye betri ya gari?

kwani mbona ulishaeleza kuwa kuna aina kadhaa za acid,tena ulizitaja hadi majina,sulphuric acid,hydrochrolic acid,boric acid,nk,hzo ndizo tindikali zenyewe kijana,au ulitaka uone imeandikwa "Tindikali"pale juu ndo ujue kuwa ni tindikali?anyway,yule jamaa waliom-ponda ponda jana kwa vitu vyenye ncha kali vinavoruka hewani ndo anajua zaidi.
Kwa hiyo serikali kutoa leseni maalumu za waingizaji na wauzaji wa betri za magari inaweza kusaidia kudhibiti hili tatizo? Ili kila anayetaka kununua betri arudishe hiyo iliyoharika ikikutwa haina tindikali askari wapewe taarifa haraka? Na kisha tuwe na mamlaka inayohusika na kuziharibu.Nenda gereki nunuaa betri ya gari etc
Tatizo langu sio
kuzifahamu bali kujua maeneo ambayo likely hawa watumiaji huzipata
kirahisi rahisi bila kushtukiwa,natumai hii itatupa mwanga wa kujua
tishio la matumizi ya hii kitu ni kubwa namna gani.
umeshawahi kujiuliza wapi raia wanapata silaha,tena za kivita?sembuse tindikali!hv Tz kuna uzalendo na uadilifu kwa viongozi na watumishi mliowapa dhamana ya kuwaongoza na kuwalinda?Unaijua dawa ya kukaushia maiti?unajua jnc inavofanya kazi?unayajua madhara yake ikitumiwa tofauti na maelezo yake?unajua masharti ya kuitoa kwenda kuichoma maiti,ulinzi wake ni wa hali ya juu zaidi ya ule wa obama,lakini watu mitaani wanayo.
HAKUNA LISHINDIKANALO TZ.
Nenda kwenye duka la spea za magari mwambie mhudumu nataka maji ya betri makali, hiyo ndiyo tindikali....au kwa lugha yako ya kukariri concentrated Surphuric Acid.......
Ndugu yangu unaonekana una knowledge ndogo sana ya mambo... yale maji ya betri ndiyo yanaipa betri nguvu ya ku ignite engine...ni highly corrosive nenda dukani yanauzwa sh 3000 nunua halaf weka kwenye nguo uone ukali wake...sasa kama yanaweza kuyeyusha nguo je mtu akimwagiwa usoni inakuwaje? serikali haiwezi kudhibiti uuzaji wa acid ya gari kwa sababu matukio mengi ya kumwagia watu tindikali yanakuwa na motives fulani hata kisu nyumbani kinaweza kuwa silaha tu na kuuwa na huwezi kusema serikali idhibiti visu visiuzweSio kukalili bali sikuelezwa.Hivyo unamaanisha tindikali inauzwa na watu hata wasio na utaalamu wa kuihandle? Hii inatofauti gani na hayo maduka kuuza silaha?
By the way tindikali inafanya nini kwenye betri ya gari?
rihana wa bongo umetisha. tatizo mfumo wetu wa elimu ni kukarili ili kufaulu mtihani. mtu anajua majina yote ila ukimwonyesha aliyoandika ajui.
Ndugu yangu unaonekana una knowledge ndogo sana ya mambo... yale maji ya betri ndiyo yanaipa betri nguvu ya ku ignite engine...ni highly corrosive nenda dukani yanauzwa sh 3000 nunua halaf weka kwenye nguo uone ukali wake...sasa kama yanaweza kuyeyusha nguo je mtu akimwagiwa usoni inakuwaje? serikali haiwezi kudhibiti uuzaji wa acid ya gari kwa sababu matukio mengi ya kumwagia watu tindikali yanakuwa na motives fulani hata kisu nyumbani kinaweza kuwa silaha tu na kuuwa na huwezi kusema serikali idhibiti visu visiuzwe
Thanks rihana,uko sawa kwa hili uelewa wangu ni wa chini lakini naona unauboost taratibu.
Lakini kuhusu serikali kudhibiti nashindwa kukuelewa,watu wanailalamikia serikali imeshindwa kudhibiti tishio hili sidhani kama kuna kitu serikali inaweza kufanya katika hili zaidi ya kuthibiti distribution yake sababu swala la kudhibiti motive za watu hilo ni gumu zaidi.
Serikali inaweza kudhiti,na serikali ni sisi,tulete mawazo yetu kutafuta njia ya kufanya hivi.hata visu na mapanga serikali inaweza kudhibiti hasa ikiamua kushughurikia swala la usalama wa raia kwa nyenzo zote ilizonazo za kijeshi,kiuchumi,kisheria n.k inaweza.
Au labda tuko immotional zaidi,watu wangapi wamedhuriwa na tindikali katika kipindi cha miaka ishirini iliyopita,unaweza ukakuta hawafiki hata 50 ambayo inamaanisha hata sisi kutumia muda mwingi kujadili hii issue sio sahihi,sababu kuna matishio mengine makubwa zaidi,kama ulivyosema ya visu,mapanga n.k
Au labda motive ndio tatizo kuu?? Serikali yetu inaouwezo wa kudhibiti motivu zetu?
Hizo acid za mashuleni znapatkana kwa chemical suppliers ambao wako wengi tu hapa dar co lzm kutoka kwa mke 100..!Nina namba za zaid ya chemical suppliers wa4 or nenda garage ya magar ulizia maji ya battery makali utauziwa bila tatizo lolote
Usimuharibie rihana,post yake ilikuwa ya maana kuliko hii yako,kataja betri za magari,sitegemei kwamba haujaelewa nachouliza ni nini,kaka jambazi's ilikuwa bora zaidi aliyetaja malimao.jaribu kuwa na manufaa ndio uraia bora.
Delako
We naye mtata,hizo contacts za masupplier wewe za nini? Swali la
ziada,report za madaktari na wakemia kwenye matukio haya huwa zinasema
aina ya asidi iliyotumika? Sababu kama ni ya kwenye betri nahisi inaweza
kutambulika.