Tinde girls school

Tinde girls school

Hiyo shule naifahamu kwanza ni kukame sana..Mimi pia Mdogo Wangu alichaguliwa hapo PCB nikamuhamisha...sio kwamba hiyo combination haipo ipo ila walimu ndio shida ...!!
 
Thanx mkuu kwakunipa hali halisi maana kuliko aende akapoteze muda miaka2 nibora kufanya utaratibu mbadala. Hizi comb naona wanapanga tu bora liende ila mipango thabiti yakuwawezesha vijana kutimiza ndoto zao hakuna.

Kuna wadogo zangu wawili wamesoma hapo na sasa wapo mwaka wa tatu St. Joseph ya mbezi wakisoma mambo ya Food Technology
 
St Joseph si ndizo hizo University za hovyo! Hivi vyuo vimekuwa vikipokea wanafunzi wa pass hafifu. Achana na Tinde kabisa. Hazina walimu, vifaa, etc, ni shule zote za kata
 
Kuna wadogo zangu wawili wamesoma hapo na sasa wapo mwaka wa tatu St. Joseph ya mbezi wakisoma mambo ya Food Technology
Ok. Kwahiyo unanishali nini mkuu? Hao madogo walisoma hapo A level siyo? Walisoma comb zipi mkuu?
 
MPELEKE CHUO CHA UDAKTARI CHA SERIKALI AKIMALIZA TU SERIKALI INAMPA AJIRA
 
Hiyo shule naifahamu kwanza ni kukame sana..Mimi pia Mdogo Wangu alichaguliwa hapo PCB nikamuhamisha...sio kwamba hiyo combination haipo ipo ila walimu ndio shida ...!!
Asante Mummito. Nadhani sasa kama Tammisemi wataendelea kukataa kuwabadilisha, option iliyopo nikumpeleka private au aende then nianze utaratibu wakumuhamisha kawaida.
 
Hiyo combination IPO kk hyo n shule ya galz na mm nmesoma karibu nayo naipata xana kk pale
 
hiyo shule ya kata kwa hiyo combination atasumbuka i tell u
Ni nzuri Ila Walimu wake WAKALI sana
b738cf76da5868413d56ede2c1e13c6b.jpg
 
Hiyo combination IPO kk hyo n shule ya galz na mm nmesoma karibu nayo naipata xana kk pale
Nimekusoma Bulq. Vipi mazingira yake nawalimu wahiyo comb wanao? Maana wadau wengi humu wameiponda sana. Ila wewe umesema umesoma karibu yake nadhani utakachoniambia kitakuwa chauhakika kwakuwa unaijua vizuri.
 
Mwache aende ndo kujifunza namna ya kupambana.... Dogo kama anaweza anaweza tu... Ingekuwa kipimo ni mazingira basi watoto wa town wangekuwa wanapiga one with As masomo yote... Mruhusu aende ili ajue namna ya kujipanga... Mhimu mfuatilie kwa karibu maendeleo yake... Pia angalia waliochaguliwa wamefauluje. Ndo taratibu shule itakuwa kongwe... Angekuwa mtoto wangu au mdogo wangu... Yaani ningefurahi kupelekwa huko. Lazima asome na nidhamu juu!!! Kama hukumuandaa kupambana na hali yeyote lazima uwe na wasiwasi.
 
Kak kiukwel mazngira ya pale n magumu xana inafika kpind mpk mxoc 2nawasaidia ila kama akiingia na PCB pale usichukie kumuona akifeli coz akuna conducive environment for her kuweza kujixome na practicals coz hiyo combination inahtaji labs xana na pale n majangaà
 
Nimekuelewa vzr sana. Nakushukuru mno maana umenipa mwanga mpana kwajinsi unavoijua. Siwezi kumpoteza kumpeleka huko hatasiku moja. Ubarikiwe sana.
 
Tatizo ni hio comb yake kama shule haina hata historia nzuri ya kufaulisha hiyo comb tegemea ziro tu
 
Mwache aende ndo kujifunza namna ya kupambana.... Dogo kama anaweza anaweza tu... Ingekuwa kipimo ni mazingira basi watoto wa town wangekuwa wanapiga one with As masomo yote... Mruhusu aende ili ajue namna ya kujipanga... Mhimu mfuatilie kwa karibu maendeleo yake... Pia angalia waliochaguliwa wamefauluje. Ndo taratibu shule itakuwa kongwe... Angekuwa mtoto wangu au mdogo wangu... Yaani ningefurahi kupelekwa huko. Lazima asome na nidhamu juu!!! Kama hukumuandaa kupambana na hali yeyote lazima uwe na wasiwasi.
Mkuu tatizo ni facilities hamna. A lever muda wamasomo nimfupi mno miaka2 namambo nimengi. Kumpeleka mtoto shule ambayo haina walimu, haina maabara nk alafu utarajie afaulu nisawa nakusubiri mafuriko jangwani.

Nilichotaka nikupata picha yashule yenyewe na mazingira yake. Wadau wengi wanaoijua wameeleza hali halisi ilivyo, kwahiyo kilichobaki kwangu nikuamua. Ila kumpeleka siwezi nibora akasome private kama watakataa kumbadilishia shule.
 
Back
Top Bottom