matukio ya mutshimba na aishi ni yale ya hatari zaidi lakini zipo faulo nyingine nyingi tu za kuhunihuni.Hiyo ni ajali tu mzee kutokana na manula alivyoingia
tumeyapiga la 3 😆😆😆😆Mkuu, hii habari ungeipeleka jukwaa husika la "sports" ingependeza zaidi. Ni vigumu kupata watu wa kukufariji kwa hizo mambo za Simba a.k.a mikia ama wazee wa waviswaswadu.
hawa kila siku hivi hivi michezo yao. sema hapa mwisho mjeda mmoja kala tobo, kaja mwingine kavalishwa kikoi 😆😆😆Hufai kua kiongozi ww una maamuzi ya papara sana. ... Mechi moja tuu unafanya Hitimisho?
Haahhaahh hata ulaya kuna timu zinajulikana zinatumia nguvu sana kwenye uchezajihawa kila siku hivi hivi michezo yao. sema hapa mwisho mjeda mmoja kala tobo, kaja mwingine kavalishwa kikoi 😆😆😆
Mkuu jamaa kashindwa kuvumilia baada ya Manula kutolewa ngeuHufai kua kiongozi ww una maamuzi ya papara sana. ... Mechi moja tuu unafanya Hitimisho?
Vipi Manula kapona?tumeyapiga la 3
Tatizo la mikia wamezoea mbeleko sanaEbu kachezeni bao au chakacha kama hamuwezi kugangamara
Ina maana Manula katoka?Huyu jamaa aliyembonda manula amembonda na kakolanya kipepsi, sio mtu mzuri.