Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Misimu kama mitatu iliyopita jamaa wamefika mbali sana UEFA na Europa lakini msimu huu hakuna dalili ya kutoboa hatua ya mtoano waliyofikia.

Liverpool kashakula 5, Man City mzee wa kugawa goli tano jana kadroo, Chelsea ndo kama mnavyojua na Spurs hali si shwari msimu huu.

Wamebaki Man UTD tu leo usiku dhidi ya Barcelona.

Je, watatoboa msimu huu?
 
Back
Top Bottom