Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana.
Hata lile goli la tatu nahisi refa hakufanya maamuzi baada ya mchezaji wa madagascar kusikumwa chini refa hakupuliza kipyenga.
Taifa stars nimeseme ukweli mlibahatisha tu kuwafunga madagascar.
Ipi timu yako bora chan24?
Hujui maana ya Chan? Hao unaiwataja wanacheza wapiTimu zangu bora ni za waarabu
The best team ni Morocco π²π¦ hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.
Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Hujui maana ya Chan? Hao unaiwataja wanacheza wapi
Baada ya kusoma jina lakoTimu zangu bora ni za waarabu
The best team ni Morocco π²π¦ hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.
Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Ndioo ulitaka niandike gwajima au mwamposa!!!Baada ya kusoma jina lako
Hahahaha haupo seriuos mkuu.Hata Kenya nao wanafuatia.
Naona umechangia "Kiislamu zaidi" japo Morocco sio Waarabu. ππTimu zangu bora ni za waarabu
The best team ni Morocco π²π¦ hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.
Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Ulichokiandika ni uupuuziTimu zangu bora ni za waarabu
The best team ni Morocco π²π¦ hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.
Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Lile goli la mwisho wamepewa tu refa alitakiwa apulize kipenga maana mchezaji wa madagascar alichezewa ndivyo sivyo alisukumwaTimu zangu bora ni za waarabu
The best team ni Morocco π²π¦ hii haipingiki, sema tu huwapendi waarabu na ulitamani weusi washinde. Kwa anaejua ball hawezi kusema morocco timu mbovu, na ukizingatia hiyo sio timu A. Wangelikuwepo mabalozi wenyewe wakina hakim ziyech, achraf hakimi hao madagaska wako wangekula mkono.
Morocco mmenifurahisha kunipigia hao
Na rundo la red card?Pamoja na kushinda kutwaa kombe la CHAN24 Madagascar inasalia kuwa timu yenye upambanaji mkubwa sana.