Timu ya taifa ya Uganda na Guinea

Timu ya taifa ya Uganda na Guinea

mansoorsaid

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
1,498
Reaction score
286
Nimeona kikosi cha timu ya taifa ya uganda inayotarajia kucheza na guinea simuoni mchezaji Okwi kwa nini?

Au yupo njiani hata walipocheza na ghana sijamuona
 
nimeona kikosi cha timu ya taifa ya uganda inayotarajia kucheza na guinea simuoni mchezaji Okwi kwa nini? au yupo njiani hata walipocheza na ghana sijamuona
Kokwi kachuja, nani ataita makapi timu ya Taifa?
 
nimeona kikosi cha timu ya taifa ya uganda inayotarajia kucheza na guinea simuoni mchezaji Okwi kwa nini? au yupo njiani hata walipocheza na ghana sijamuona
Mbona Hujauuliza Hukumwona Hamis Kiiza? Okwi Utamwona Na Kumfahamu Zaidi October 12 Pale Atakapowafanya MZIMIE HOVYO UWANJANI na HAKIKA Kwa Mziki Huu Wa SIMBA Huku Okwi Akiwa Ndani NAWAONEA SANA HURUMA RED CROSS na WAMILIKI WA YALE MAGARI YA AMBULANCE

Nina UHAKIKA October 12 MASHABIKI WENGI WA KANDAMBILI ( Yanga ) WATAKUFA Kwani Kuna DHAHAMA Kubwa Inawajia Na Nina UHAKIKA Zile Goli Alizopigwa Brazil Na Germany Zinaweza Kuwatokea Yanga au Magoli Zaidi Ya Hayo. Na Leo Jioni Saa 11 Tunakipiga Na Wanaojua Akina Lazaro ( Watoza Ushuru ) Wa Uganda URA.

Simba Hii Hadi Raha Na MTANUNA SANA MSIMU HUU MPYA. Mgogoro Wa Yanga Utaanza Rasmi Jumapili Taifa, Utachochewa Zaidi Jumamosi Ijayo Dhidi Ya Mtibwa Na Utazidi, Kuharibu Na Kutibua Kila Kitu Mwezi Ujao ( October ) Tarehe 12!
 
Okwi kwetu TZ ndiyo lulu lakini kwao Uganda ni mtu wa kawaida sana. Sisi si alituendea kwa mganga!
 
Mbona Hujauuliza Hukumwona Hamis Kiiza? Okwi Utamwona Na Kumfahamu Zaidi October 12 Pale Atakapowafanya MZIMIE HOVYO UWANJANI na HAKIKA Kwa Mziki Huu Wa SIMBA Huku Okwi Akiwa Ndani NAWAONEA SANA HURUMA RED CROSS na WAMILIKI WA YALE MAGARI YA AMBULANCE

Nina UHAKIKA October 12 MASHABIKI WENGI WA KANDAMBILI ( Yanga ) WATAKUFA Kwani Kuna DHAHAMA Kubwa Inawajia Na Nina UHAKIKA Zile Goli Alizopigwa Brazil Na Germany Zinaweza Kuwatokea Yanga au Magoli Zaidi Ya Hayo. Na Leo Jioni Saa 11 Tunakipiga Na Wanaojua Akina Lazaro ( Watoza Ushuru ) Wa Uganda URA.

Simba Hii Hadi Raha Na MTANUNA SANA MSIMU HUU MPYA. Mgogoro Wa Yanga Utaanza Rasmi Jumapili Taifa, Utachochewa Zaidi Jumamosi Ijayo Dhidi Ya Mtibwa Na Utazidi, Kuharibu Na Kutibua Kila Kitu Mwezi Ujao ( October ) Tarehe 12!

kiiza yupo
 
Back
Top Bottom