Aliyeanzisha hii "TOPIC" nakwambia "Shindwa pepo wa kuzimu wewe" shindwa na ulegee!! Huna mamlaka ktk web hii ya kuwateka wana wa MUNGU,Nasema tena Shindwa pepo na umelaaniwa,huna mamlaka kwa DAMU YA YESU WA NAZARETI aliye hai. Acha wa2 wa MUNGU wajadili mambo yaliyo hai ya Nchi yao.