Hii ndio First eleven ya Shetani. Lazima ucheze namba yoyote.1:ZINAA. 2:WIZI/UJAMBAZI. 3:UONGO/UTAPELI. 4:ULEVI. 5:BANGI/UNGA. 6:TAMAA/ROHO MBAYA. 7😀HULMA. 8:UCHAWI. 9:RUSWA. 10:KIBURI/DHARAU. 11:KUSENGENYA. JEE wewe namba ngapi? Huwezi kuficha kuna namba lazima utakuwa unacheza. Please niambie sasa hivi.
Mi ni coach.
OOOK kwa hyo we ndo shetani mwenyewe.
mi ni mshabiki tu.......... wakicheza vizuri kama aseno na man yu mi nawashangilia wakicheza kama wale anda twente thrii mi nazomea tu ndio zangu.