timu ya olimpic kuwasili kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

timu ya olimpic kuwasili kesho

Discussion in 'Sports' started by kay 18, Aug 13, 2012.

 1. kay 18

  kay 18 Senior Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  timu ya taifa iliyoshiliki mashindano ya olimpic jijini london,kuwasili kwa bus kesho majira ya saa 3:30 asubuhi,ww kama mtanzani na mzalendo unaombwa kujitokeza pale ubungo kuwapoke mashuja wetu,
   
 2. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kilaza njoo uchukue ramani ya Dunia Tawala ili uone kama hoja yako ina msingi.

  Nawashauri wananchi shime tukawapokee baada ya kujua watafika saa ngapi na wapi. Nimeambiwa wanarudi na mizigo ya picha za wachezaji wa nchi nyingine walioshinda medali za olimpiki kwa ajili ya kumbukumbu za kizazi kijacho.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hahaha! Yule mwenye malaria keshapona? Nataka kumletea zawadi ya neti
   
 4. kay 18

  kay 18 Senior Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nahs atakuja kwemye machela yule,
   
 5. kay 18

  kay 18 Senior Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unataka kuwapokea mtafute bahi umuulize, wanakuja lini? uone moto wake,na kama atakujibu naiman utakuwa peke yako airport,
   
Loading...