Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

"huyu mtu sio mtu iko nafiki sana, tumesaidia sana sana ila saizi aacha sisi, iko hakuna shida sisi 2015 iko shinda tena bila problem".
nimecheka sana.....
 
Mbona katika hiyo timu ina wageni wengi kuliko watanzania.

1. Bashe msomali

2. Rostam MIran
 
Hata mimi nasubiri ujibiwe ili namimi nimjue.......japo kwa ss karibu ccm wote ni machizi tu,Labda kama huyu kazidi wenzake.

Huyu siyo chizi kweli?
 

Attachments

  • Lissu+akilia1.jpeg
    39.5 KB · Views: 214
Mkuu ocampo four upo? Kitambo saaana tangu kipindi kileeeee cha kasheshe la watoza ushuru!!!! (Remember?)
 
Timu ya Wagagagigikoko, wapi mzee wa Shinyanga? Wapi Chenge? Kwenye hii timu chenge ndio kubwa la maadui hata hivyo bora umpe fisadi kuluko kumpa fisadi anayechipukia kama Januari, Wasira, Membe na Sumu-ye
 
Mzee Chizi ni nani wajameni ?

Sio Chizi...Nadhani muanzisha thread amekosea...

Anaitwa Matson Chizii....Huyu ni Mkurugenzi mstaafu wa Uchaguzi CCM makao makuu....

Amewahi pia kuwa Katibu wa CCM wa baadhi ya mikoa , ikiwemo Dodoma na Dar es salaam ( I stand to be corrected)
 
Daa napita,sielewi unamsupport mamnvi au unamharibia.Nini uadilifu wa members wa hiyo timu?Ntarudi baadaye!

Lowassa=Rostam
Bashe=Rostam
Serukamba=Rostam

Basi bora ingeitwa timu ya kampeni ya Rostam
 
Naona mwandishi hujajaza wasifu wako humu coz kilichoandikwa humu ni unazi wako kwa mamvi.chizi nafikiri niliwah cjia kuwa ni mmoja ktk mawaziri mizigo
 
Nasikia kwenye NEC wajumbe huwa wanaenda Kwa foleni alipokaa kumsalimu alhali huyu mwenye mbeleko ya Familia ya Kwanza huwa anawafuata wajumbe kuwasalimu. Kweli ukitaka kupigana vita na mwenye fedha sharti uwe na pesa pia. Ila mwandishi umeonesha kuwa u-upande wa ENL.
 
watanzania wengi wanamuhitaji prof. anna tibaijuka ndiye awe rais 2015 na sio vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…