Timu tano (5) bora kwa msimu wa 2024/25

Timu tano (5) bora kwa msimu wa 2024/25

[emoji1] kaka utakuwa mganga kama sio mtabiri,...
[emoji23]
sema blues sijawahi kuwakubali make ni timu anayoisapoti mzee! alikuwa anantania sana kuwa city haina hata UEFA enzi za kina Samir Nasri.
 
[emoji23]
sema blues sijawahi kuwakubali make ni timu anayoisapoti mzee! alikuwa anantania sana kuwa city haina hata UEFA enzi za kina Samir Nasri.
Yeah ndio timu zetu, yani kizazi cha 80,'s lazima uwakute man u, ac milan, inter, juve,madrid,barca,monaco maana ndio club zilikuw zinasumbua kipindi hko.
 
Arsenal hata haipendezei kubeba UEFA hebu imagine eti kale katangazo kaUEFA mwishoni Arsenal ndio inakuwepo!
🙂
Ngoja mwakani tunachukua triple, Epl, Uefa, FA 😎😎
 
Back
Top Bottom