Hao wapinzani wana nini zaidi ya kuwa na ilani mbovu inayobebwa na mgombea mgonjwa? Asanteni Watanzania kwa kuamua kumchagua Magufuli
Mwaka huu wapinzani mwaka huu mna kazi nzito Mana huyu mgufuli anakimbiza ilee mbaya hapa kazi tu
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
ccm na magufili watashinda uchaguzi kwa 56% ya kura zote
Jifunze kwa Team Lowasa ,hata siku moja hawatazungumzia madhaifu ya Lowasa,bali ni yale mazuri tu,na ndivyo tunataka kwa Team Magufuli,madhaifu yatazungumziwa na Team Lowasa ,na pia madhaifu ya Lowasa yatazungumziwa na Team Magufuli,huwezi kuzungumzia madhaifu kwa mtu wako,wewe utakuwa sio mwana mkakati,lengo kuu la hizi team,ni kuwajenga wagombea wao na sio kuwabomoa hiyo ndio siasa.Hapa tunaongelea mazuri tu ya Magufuli na madhaifu ya wapinzani wa Magufuli,ukitaka kujua huu ukweli nenda Team Lowasa halafu jaribu kuzungumzia madhaifu yake halafu uje utupe majibu.Tunaruhusiwa kusema madhaifu yake hapa pia?