Aliye mkubwa kati yenu na awe mtumishi wenu. Hivi wewe neno la Mungu huliweki kwenye maisha practical. Baba ni mkuu ila ni mtumishi wa wote kwenye familia.pole
ni haki kuwa katka chama chochote... namkubali maguful-ishu ya cham kutopendwa ni tofaut za kiitikad tu.Inashangaza kuna watu wanaona mtu wa ajab kuwa member wa ccm,wanataka wote tuwe upande mmoja,..Haiwezekani---viongoz wa chama wapo wabov kila chama ila kwa magufuli na ccm naipa kura.
Namba inasomeka mwaka huu.
NASEMA: Kura ya Urais nampa John Pombe Makufuri na Kura ya Upunge nampa UKAWA.
Muziki watachezea huko Bungeni. Natamani kufadhili mafuta ya magari ya kampeni za Magufuli lakini uwezo to ndo sina bali naendela kuomba Mungu atatenda
kama ukawa wanania ya kuikomboa nchi
1.Wangetaja mtu wao sio kusubir matokeo ya ccm- ni ishara ya kutojiamini.
2.kutengeneza scandal kwa lengo la kujijenga ni kukosa ukomavu-ni siasa za majungu yan watu wakosane wao wapate-
3.Kuaminisha umma kuwa lengo ni mabadiliko na adui ni ccm si kweli, waseme adui ni flani na flani.Chama kina mising mizur tu.
4.ni swala la wanachama na uongoz kutoa ukuta kati yao na hili litawezekana kwa kumuweka kiongoz anaethubutu na anaependa kufanya jambo kama lilivyopangwa kama JPM.