Ukiweka ujinga uwe msingi wa maisha yako ni hatari sana. Ni bora ukaona ujinga wako ni changamoto ukaikabili na kusonga mbele. Akili zako ni finyu mno hazijai hata kwenye kijiko kidogo cha kukorogea chai.Mnafanya nini nyuma yake!! Msije mkananihiiii...
CCM na serikali yake chovu vimesahau kwamba vyombo vingi vya kimataifa vinaangalia upuuzi wote unaoendelea Star tv,Tbc na magazeti yake na waangalizi wanashangaa kwa nn TBC si ya UMMA ila ni ya CCM na inaonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM,Uzushi unaofanywa na vyombo hivi unaonekana wazi kabisa TUME YA UCHAGUZI IKO KIMYA yote hayo uangalizi wa kimataifa unaona na Wamejua kabisa kuwa CCM maji yako Shingoni na kinachoendelea ni kutapatapa tu bado dakika chache chama kinazama jumla.
Mnafanya nini nyuma yake!! Msije mkananihiiii...
kama yeye jembe akubali kuchomekwa mpini.
ndio hapo inapokuwa shida..maana mfumo wa nchi kwa kuongozwa na katiba unaelekeza kuwa nchi itaongozwa na chama kitakachoshinda..... na sio mtu mmoja.. na ndio maana kuna kitu kinaitwa ILANI (yaan mwongozo) hiyo ndiyo ambayo itamwongoza Magufuli.. siwezi nikiwa na akili timamu kushabikia CCM kuendelea kuongoza nchi hii. naamini kina Magufuli wapo wengi nchi hii.. hawajapewa tu nafasi..hata huko UKAWA wapo.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
Namba inasomeka mwaka huu.
NASEMA: Kura ya Urais nampa John Pombe Makufuri na Kura ya Upunge nampa UKAWA.
Muziki watachezea huko Bungeni. Natamani kufadhili mafuta ya magari ya kampeni za Magufuli lakini uwezo to ndo sina bali naendela kuomba Mungu atatenda
hili ni tatizo mkuu, unapomuomba mungu hutakiwi kumpangia bali kumuomba akupe kiongozi kwa sbb yy anaangalia moyo sisi tunaangalia nje....
Mi nimejifunza hii kanisani
ukiwa na mtu wako then akashindwa utaona mungu hajakutendea haki!
So ushabiki unaishia nje when it comes to god kuwa huru mungu hapangiwi
Ni kweli.Kilichobaki Ni kumuombea kwa Mungu
Magufuli akishinda Napiga Mbizi Mpaka Madagascar.