Timiza ahadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timiza ahadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Jan 25, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ITV WAMEANZISHA KIPINDI CHA TIMIZA AHADI ,AMBAPO WABUNGE WANATAKIWA KWENDA KUELEZEA AHADI ZAO ZIMETIMIZWA KWA KIASI GANI MPAKA SASA,KUNA WABUNGE WALIAHIDI MABADILIKO MAKUBWA SIKU MIA ZA KWANZA OFISINI LAKINI ZIMEISHA NA HAKUNA LOLOTE

  KAMA MNYIKA WA UBUNGO ALIAHIDI KUTATUA MGOGORO WA ARDHI KWEMBE MpAKA SASA MUHIMBILI WANAANZA KUJENGA PALE KWEMBE WAZEE HAWAJALIPWA VIPI JAMANI TIMIZENI AHADI WABUNGE.
   
Loading...