Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,124
- 5,698
Najiuliza mwenyewe nakosa jibu. Nimesoma thread za time travel nikahisi ni unabii
1. Nikiwa mdogo miaka ya 84 mzee wa nzengo alituambia tukiwa watu wengi alituambia ya kuwa, kwenye mkuyu ule nimekuta usiku majumba mengi meupe(ya bati).
Baada kama miaka 25 hivi alikuja mhindi akajenga kiwanda na majumba mengi ya wafanyakazi. Mzee yule tayari alikwenda zake kwa Mola.
2.Miaka ya nyuma babu alitusimulia kuwa pori fulani utakuja kuwa mji mkubwa kushinda hata bomani. Bomani enzi hizo ni makao makuu ya wilaya.
Kwa sasa hapo ni mji mkubwa na makao makuu ya wilaya yamehsmishiwa hapo.
Sasa nauliza ,Je huu ni unabii au inamtokea tu mtu anabuni?