Time travel na ufunuo wa ufufuko

Hapana yuko hapa hapa nchini akiendelea na majukumu yake.. Bukheri wa afya kabisa
Muono wako?unataka kutuaminisha imani mpya?hebu safiri tena ujue jiwe alipo nasikia yupo korea kaskazini kuaguliwa kisulisuli ni kweli?tuambie mkuu!!!
 
.
man-with-conceptual-spiritual-body-art-stock-photo_csp16054727.jpeg

Jr
 
Jr
 
Time travel
giphy.gif
One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.

Hii ishu nimeiona kwenye movie ya Mr.Peabody and Sherman ambayo walikuwa wanatumia Time Machine kwenda kwenye past mbalimbali mfano French Revolution ya mwaka 1789.

Ancient Egypt ( LAND OF THE PHARAOHS) -1332 B.C, na Florence, Italy home of Leonardo Da'vinci 1508 na sehemu nyingine lakini walikuwa na uwezo wa kurudi present kutokea Way Back kwa kutumia Time machine.

Kama ulivyojaribu kuelezea sio kitu kirahisi kwa kukitolea maelezo tu.
 
Kama ulivyojaribu kuelezea sio kitu kirahisi kwa kukitolea maelezo tu. ni ngumu sana kwakweli
 
Nina swali endapo ni nje na mada kwanini mungu na shetani wamekuwa wakijihusisha Sana na matendo ya mwanadamu kwani hakuna vyengine vya kufanya...?
Hope ulikuwa unamaanisha Mungu/MUNGU na si mungu right?
Tambua Mungu/MUNGU ni watu(personalize) viwili tofauti.
 
Tuifahamu time travel ninini kwanza (si lazima iwe sawa na ile unaifahamu wewe) .... Ni sawa na kurudisha muda nyuma na kuleta uhalisia wa jambo lililipita ulifanye tena ama kupeleka muda mbele na kufika ambako wengine hawajafika bado... Yaani uifike kesho kupitia muda kabla kesho yenyewe haijafika.... Kitabu cha A girl from tomorrow kinaweza kukupa mwanga zaidi kwenye hili....

Nina hisia zinazonipa uhalisia mwingi sana katika siri ambazo bado hazijafunuliwa... Uhalisia wa uhai na maisha tena baada ya kifo.. Baada ya roho kutengana na mwili.. Kuna muunganiko unaweza kuja kutokea tena katika uhalisia wake na hapa ndio ile dhana ya time travel inaweza kuwa halisi

Kuna chords za siri bado hatujazipatia... Siri iliyojificha nyuma ya kifo na maisha baada ya Kifo na ufufuko mpya kutoka kifoni... Kwanini nawaza haya? Uhalisia ni upi? Je ni mauzauza tu ama kuna mwanga wa ukweli uliofichama!? Hebu twende kipengele kwa kipengele kuanzia kiimani mpaka nje ya imani na utata wake...

Asili ya binadamu ni Afrika... Hili halijawahi kukanushwa popote... Na tunaambiwa aliishi miaka million nyingi... Asili ya dunia ni mashariki ya kati kiimani na kidini... Misahafu karibia yote na madokezo ya kidini yanazungumzia uumbaji wa dunia kwenye ulimwengu wa kiimani kama chanzo na asili yake ni mashariki ya kati.. Hapo ndio penye chimbuko... Lakini umri ukitofautiana kutoka imani moja mpaka nyingine... Kwenye mada hii nitabaki upande wa asili ya mwanadamu na si asili ya dunia....

Kuna dondoo zisizopungua tano, zinazotoa fununu juu ya maisha baada ya kifo na ufufuko ama uhai tena... Hebu tupitie moja baada ya nyingine

1. KIDINI (Imani katika Mungu mmoja)
Zipo dini hasa ukristo na uislam.. Zinaamini katika ufufuko mara baada ya kifo lakini ufufuko huo haufanyiki sasa hivi bali kuna siku inayoitwa mwisho wa dunia ama siku ya kiama... Ndio wafu wote watafufuliwa... Kumbuka hawafufuki wenyewe WATAFUFULIWA...

2. KIDINI(katika imani ya miungu)
Zipo dini zisizoamini katika Mungu mmoja bali miungu... Yaani mungu jua, mungu miti, mungu mwezi, mungu moto nknk.. Hawa wanaamini ya kwamba binadamu anapokoma kuwa hufa na kuzaliwa tena mahali pengine kwa sura na hata umbo lingine... Na wapo watu wanatoa na shuhuda kabisa kwenye hili....

3. WAFANYA TAHAJUDI
Hawa huingia kwenye kundi la kile kipengele cha kufungua jicho la tatu... Uwezo wa kufungua jicho la tatu.. Kuona yajayo, kubashiri na hata uwezo wa kubadili mambo kadhaa yajayo kabla ya kuyafikia... Hawa nao huamini katika reincarnation... Pitia Liao fans four lessons

4.WATABIRI na WAPIGA RAMLI...
Ni watu wenye kipawa cha asili ama kipawa wezeshi kwa kutumia nguvu za ziada wanaoweza kukisoma na kukutabiria mambo yako yajayo kabla hujayafika na hata yaliyopita pia! Dhana ya time travel!? Kuna wabahatishaji lakini pia kuna wenye hakika hasa kupitia na kutumia alama za viganja, tarehe muda na nyota...

5. WAOTA NDOTO (NDOTO MAONO)
Hapa kuna watu huota na kitu kikatokea kama kilivyo... Tunafahamu kuna ndoto nyingi lakini ndoto maono hutoa uhalisia wa ajabu kabisa... Je hizi nazo ni sehemu ya time travel!? Baadhi ya ndoto huhusisha jumbe toka kwa marehemu kama vile wako hai mahali fulani na wanatoa maagizo kabisa......

Kwa kuzingatia dondoo tajwa hapo juu kuna uhalisia mwingi kwamba kuna siri za hii dunia hatujafunuliwa bado na hii inatokana na kujikita zaidi kwenye sayansi na dini za kigeni... Tunafundishwa vitu vyenye limitations nyingi huku pengine wenzetu wakiwa tayari wamesha unlock siri hizi kwa sehemu kubwa. ...

Kama imeshindikana kabisa kuficha kuwa asili ya mwanadamu ni Afrika. Basi huyu mwafrika kabeba siri kubwa kwenye uumbaji na kikomo cha kuwa... Sasa kuko wapi kushindwa kwake?

Sayansi hizi za kiafrika zisizo na ithibati zinatoa mwanga muhimu kwenye hili... Lakini zinatuthibitishia kuwa kuna ulimwengu mwingine usioonekana upo na unaexist
Sayansi ya kupaa kwa ungo bila kuonekana na wengine
Sayansi ya kumuua mtu na kumfanya msukule
Sayansi ya kuingia kwennye nyumba ya mtu bila kufungua milango wala madirisha
Sayansi ya kudhuru kwa kutumia macho tu.. (Zongo nk)
Sayansi ya kutabiri kwa kutumia jivu maji kwenye beseni ama mchanga....

Kuna ulimwengu usioonekana upo
Kuna mahali wafu wapo wanaendelea na maisha na kuna siku watarejerea kwenye miili yao
Dhana ya recycle bin inatoa mwanga kwenye hili... Waafrika kuna maarifa tulipokwa.. Turudi kwetu tuanze upya.. Tutaushangaza ulimwengu
.
Unaonekana ni mtu unayependa kudadisi mambo. Lakini kuna kitu bado hujakifahamu vizuri, ndio maana uandishi wako unaacha maswali yasiyo na majibu. Nenda kasome dhana ya "Quantum physics ,hii ina majibu ya maswali yako yote. But ili uelewe Quantum Physics, lazima kwanza uwe na msingi wa classical physics. All in all quantum physics is magical
 
Asante kwa hili nadhani uko sahihi kwa parameters fulani.. Ni vema sasa ukanigaiya maarifa hapa ya kile unachokijua ili mimi na wengine tupate kuelimika zaidi
Ni kweli kabisa mimi sijui yote na sijui kila kitu ila nina uthubutu na utayari wa kuchokoza mada.. Kishapo baada ya hapo wajuzi wengine huja kuinogesha mada
 
Unaonekana ni mtu unayependa kudadisi mambo. Lakini kuna kitu bado hujakifahamu vizuri, ndio maana uandishi wako unaacha maswali yasiyo na majibu. Nenda kasome dhana ya "Quantum physics ,hii ina majibu ya maswali yako yote. But ili uelewe Quantum Physics, lazima kwanza uwe na msingi wa classical physics. All in all quantum physics is magical
Quantum physics
 
Back
Top Bottom